()*()*() wishing you a happy birthday paw ()*()*()

()*()*() wishing you a happy birthday paw ()*()*()

Hii hoja naifungulia thread monday. Mi nina like 100, nimesha toa 1000, huo ni ustaarabu kweli?

RR, did you see my other 'perspective' ya uchoyo? lets think beyond the box.....

hapanadhani mchango wa The Boss unahitajika pia
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Hii hoja naifungulia thread monday. Mi nina like 100, nimesha toa 1000, huo ni ustaarabu kweli?

Hahahah. . sio haki kabisa.
Sema hii ya kukosa LIKE kwenye via mobile nayo inachangia maana wengine hua tunatamani kweli kutoa ila ndio kama hivyo tena.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Kongosho kumbe muoga wa Ban eeeh? ndo maana humbani Roulette kabisa umenibananisha mimi.... Boss nilimuacha na Roulette siku mbili... hio haitoshi kusema there is something fishy?? instead wani bana mimi Dah! (shaking in my socks)

Roulette adhabu yake ni kubwa hadi mie mwenyewe naogopa.

Sitaki kuiongea ongea ili nisije nikaahirisha, naifanya kwa kumshtukiza.

Andaeni michango ya kumpeleka India
Kongosho wasituchonganishe ndugu yangu. hii thread ya Birthday ya Paw tusiweke hasira ndani yake maana ni ujumbe wa mwaka mzima tunaweka hapa. AshaDii, yaishe dear. Tafadhali, msifanye mambo kama hatujaeda shule nawaombeni.
Kama kuna mtu alie haribu ni The Boss mwenyewe (na wewe Alter ulie yaleta humu)
 
Ivi bday yenyewe ni tar 2 au 3?Kama ni tar 2 sitaki kuamini nimeshare bday na paw coz mi yangu ni tar 2 dec..
 
Hahahah. . sio haki kabisa.
Sema hii ya kukosa LIKE kwenye via mobile nayo inachangia maana wengine hua tunatamani kweli kutoa ila ndio kama hivyo tena.
Basi anzisheni utaratibu wa ku-quote alafu mnasema "nimeku-like", then naziripoti kwa admin ananiongezea. mwenzenu naumia sana kukosa likes!
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Ivi bday yenyewe ni tar 2 au 3?Kama ni tar 2 sitaki kuamini nimeshare bday na paw coz mi yangu ni tar 2 dec..
Basi happy birthday na wewe ndugu! Nakutakia heri na mafaanikio katika siku hii, na miezi 12 zinazo kuja
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Basi anzisheni utaratibu wa ku-quote alafu mnasema "nimeku-like", then naziripoti kwa admin ananiongezea. mwenzenu naumia sana kukosa likes!

Pole mwaya. . .
Ngoja tumsumbue Invisible atuwekee maana hata sie hua tunaboreka tukishibdwa kutoa pale panapostahili.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Nawashukuru nyote kwa kunipongea kwa safari yangu kuelekea uzeeni.
Ama kwa hakika jana ilikuwa siku njema kabisa kwani nilikuwa najaribisha pampers as you know enzi zileee tulikuwa tunatumia nepi (wengine gagulo).

Nashukuru kwa wishes zenu na baraka. Tunabakia kuwa familia moja hata kama tunatofautiana kimawazo na kiitikadi. Hata mapacha hutofautiana.

Nashukuru sana (nakosa maneno muafaka ya kuweka hapa)
 
Attachments

  • yusuph h.jpg
    yusuph h.jpg
    19.6 KB · Views: 31
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom