AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
"Paw my Pal (kwa kulazimisha...lol) and my best Mod"
Naamini kua kazi za Mods ni kubwa na nyingi pia
Zipo in varieties kila kipengele na Ugumu wake
thou hatuwezi tambua for sie kama Members hatuelewi hasa nini kinafanyika;
Pamoja na hayo kuna kipengele ambacho ni maarufu
kila member afahamu FIKA kuhusu Ban Kazi ambayo ni moja ya kazi/jukumu lako
(hasa mtu anapokua uncontrollable) Kazi yako waifanya kwa moyo mmoja as much
as it is hard for you na most hawaelewi how it is/feels to be in your shoes .
Hio ni moja ya sababu I had admired you
Your Hard Work and Msimamo.
Paw Genuinely remain the way you are ever .
And on this Special day which happens every day of your life may you Prosper,
Rejuvenate and become more Superior in all your Great Qualities .
Mwenyezi Mungu Akubariki na Kukuneemesha na Pia kukujalia Maisha marefu
Pal It is an Honour to Wish you a Happy Birthday Whether you like it OR Not.
:A S-rose::A S-rose::A S-rose:...HAPPY BIRTHDAY PAW...:A S-rose::A S-rose::A S-rose: