scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,165
Reaction score
47,858
If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.

Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.

Britanicca
 
Chunguza kwa makini ukurasa uliosambaza tangazo la msiba.

Ikiwa unatamani kutambua kwa kina mpasuko mkubwa wa kitaifa (fissura nationalis), chunguza kwa makini ukurasa uliosambaza tangazo la msiba, ukilinganisha na taarifa rasmi (communiqué) iliyotolewa kuhusu kuanguka/kudhoofika kwa Tata Warioba.

Humo, utaweza kuelewa kwa uwazi wa hali ya juu kabisa (ex ipso facto) hali ilivyo sasa (status quo) pamoja na mkwamo na mkanganyiko mkubwa unaoendelea ndani ya mfumo wa kisiasa wa nchi.
 
What mortuary announcement? First Gentleman’s?

Warioba collapse? Is there any foul play?

Ngoja kwanza nikasime thread kuhusu Warioba akisema mtutu wa bunduki hauwezi kuleta amani. Kuna taarifa alinguka/colapse.
Ikiwa unatamani kutambua kwa kina mgawanyiko mkubwa wa kitaifa (fissura nationalis), chunguza ukurasa uliosambaza tangazo la msiba ukilinganisha na taarifa rasmi kuhusu kuanguka kwa Tata Warioba.
Hapo ndipo utakapoelewa kwa uwazi kabisa, kutokana na hali halisi yenyewe (ex ipso facto), hali ilivyo sasa (status quo) pamoja na mkanganyiko na mkwamo unaoendelea kujitokeza ndani ya siasa za nchi.
 
If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.

Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.

Britanicca
TAFASIRI

Ikiwa unataka kutambua kwa undani mpasuko mkubwa wa kitaifa, chunguza ukurasa uliosambaza tangazo la msiba na uutazame sambamba na taarifa iliyotolewa kuhusu kuanguka kwa Tata Warioba. Hapo utaelewa kwa uwazi kabisa hali ilivyo na mkwamo mkubwa unaoendelea ndani ya taifa.
 
Kilichotokea kwa mgeni rasmi Jaji Joseph Sinde Warioba leo ni kitu kinachoitwa Vasomotor collapse syndrome au neuro cardiogenic syncope cum vasovagal syncope. Hali hiyo ya hatari huweza kumtokea mtu yeyote anayesimama kwa muda mrefu juani na kuathiri mzunguko kamili wa damu mwilini.
Ukifanya tathimini ya haraka utagundua kuwa mzee Warioba kwa umri wake amepewa majukumu makubwa ya kuwa mgeni rasmi kwenye mazingira yaliyojaa siasa chafu ambapo hata kupeana sumu ni jambo linalowezekana kwa hali ilivyo sasa. Mzee huyu ameanza hotuba nyeti mapema asubuhi na sijui aliamka saa ngapi kujiandaa na alikuwa anatema nyongo muda wote akiwa wima. Sikuona hata mara moja akipata glasi ya maji ili kurudisha maji mwilini wala kulainisha koo.
Kwa wale wenye jicho la kitabibu watakubaliana na kilichotokea sekunde chache kabla ya kuanza kuanguka kuwa alikuwa anaelekea kuzimia. Safari nyingine mzee kama yule atoe hotuba yake akiwa ameketi na awe na maji ya kutosha.
 
Yule alietangaza operation yuda ndio aliotangaza operation "beyond the Sasha presidential election term limit 2030"
Ili kufanya iwe rahisi hiyo bid kupita

Lazima kuna some figures wenye ushawishi waondolewe kwanza!!

Nawaza na kuwazua!!

Kuna member mmoja hapo kale aliandika kwamba lazima wazee akiwemo huyo watembee pamoja na alie gerezani na huyu WA Kwa chair,na yule wa awamu ya nne halafu ndio kitabu kitaandikwa!!

Sasa sijui ndio haya yanatokea au!!

Kuna Uzi uliandikwa "Mchezo wa draft kete namba SITA na nne zitapigwa"sikumbuki ni nani!!
 
If you wish to discern the profound national schism fissura nationalis scrutinize the page that disseminated the mortuary announcement vis-à-vis the communiqué regarding Tata Warioba's collapse.

Therein, you shall comprehend with crystalline clarity ex ipso facto the status quo and the prevailing quagmire unfolding within the polity.

Britanicca
If you want to understand the deep division in the country, compare two posts: the fake report of his death and the actual statement about Tata Warioba collapsing.

Looking at those two posts makes the current political mess completely clear.
 
Back
Top Bottom