Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Kwa Bongo hii kitu haiwezekani.
 
kwann haiwezekani?

Because in some areas, there is normal mobile networks for calling or texting. Sembuse 3G?

Also 3G service, which is needed for the routers to supply Wi-Fi, is not well covering all he areas, especially rural areas.

Last but not the least, this will cost them alot of money. There are other passengers such as chief-mkwawa and others, will use that opportunity to download series and movies of about 10GB per journey. This will mean that they travell free of charge.

I think brother C6 you have coppied me.
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio mawazo ya kusonga mbele. YAWEZEKANA NA HATUA ZICHUKULIWE NA WAHUSIKA.

Wahusika wakina nani? Hiyo ni business oportunity hata wewe unaweza kwenda na wazo kwa wenye mabasi, unainstall mfumo kwa gharama zako, wewe unakula faida na yeye anaongeza wateja!
 
Kama inawekana basi wasisahau na kila siti
kuweka sehemu ya kuchajia simu.

Lipo basi moja la Arusha-Tanga linaitwa Hajee's lina socket 2 ubavuni mwa seat, hii ina maana kuwa kila abiria anaweza chomeka na kucharge simu yake!!
 
wakuu wireless internet inawezekana kwa mfano kuna hizi bus za kidia one zinatoka dar arusha wana mfumo huu na sehem za kuchaji cm zipo tukijaribu tunaweza
 
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?
Inawezekana kabisa na mimi nimeshuhudia na nimetumia kwenye bus la kutoka Mombasa -Nairobi linaitwa MODERN BUS huwa wanabandika day code pale mbele so unaijaza then upo connected,halafu kwenye ubavu wa siti kuna socket mbili kwa ajili ya kuchajia na zote zinafanya kazi.
 
Kwa hiyo hizo bus za Kidia zina huu mfumo ila haufanyi kazi? Au sijakuelewa vizuri mkuu
 
Inawezekana kabisa na mimi nimeshuhudia na nimetumia kwenye bus la kutoka Mombasa -Nairobi linaitwa MODERN BUS huwa wanabandika day code pale mbele so unaijaza then upo connected,halafu kwenye ubavu wa siti kuna socket mbili kwa ajili ya kuchajia na zote zinafanya kazi.

Lol.! Kumbe Kenya wameweza
 
Kuna bus inaitwa Modern, inafanya kazi kati ya Mombasa, Tanga hadi Dar, ina Wi-Fi.

Ni jambo linalowezekana kabisa. Labda demand haijawa kubwa kiasi cha kuwafanya wamiliki watumie hiyo fursa kuvutia abiria.

Ndiyo maana mabasi yenye AC kwa siku za karibuni yamevutia sana wateja.
 
Nimejaribu kufuatilia zaidi nimegundua ni kitu ambacho kinawezekana ila kina gharama kiasi na pia uhitaji wa huduma kwa abiria unachochea sana..

Hapa kwetu watu wengi sio watumiaji wazuri wa Internet hivyo hata isipokuwepo haidhuru kwao,, tofauti na nchi nyingine ambapo internet ni daily routine ya raia wake hivyo ni lazima kwa mabasi mengi kua na wi~fi ili kukidhi matakwa ya abiria wao.
 
Because in some areas, there is normal mobile networks for calling or texting. Sembuse 3G?

Also 3G service, which is needed for the routers to supply Wi-Fi, is not well covering all he areas, especially rural areas.

Last but not the least, this will cost them alot of money. There are other passengers such as chief-mkwawa and others, will use that opportunity to download series and movies of about 10GB per journey. This will mean that they travell free of charge.

I think brother C6 you have coppied me.[/QUOT

mboni Kenya ipo au watu wao wamestaarabika?
 
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Hii kitu inawezekana kbs mkuu ukiangalia wenzetu kenya wana hyo huduma kuna mabasi yanapiga route Arusha-Nairobi yanaitwa PANTHER yana hii huduma ya WI-FI...
Na Case ya charging system mbn hata shabiby walikuwa nayo
 
Kuna bus linaitwa isamilo kutoka mwanza dar lina system ya charge kila siti soketi mbili zipo na wife njia nzima huduma izo zipo nimetoka mwanza tarhe 12/3/2014 na nimetumia huduma hizo so ushahidi ndo huo.
 
mkuu kinachozungumzwa hapa ni wireless internet si kuchaji simu.
 
Kuna bus linaitwa isamilo kutoka mwanza dar lina system ya charge kila siti soketi mbili zipo na wife njia nzima huduma izo zipo nimetoka mwanza tarhe 12/3/2014 na nimetumia huduma hizo so ushahidi ndo huo.

Mkuu naona hapa itakua ni typo error..
 
Kibongo bongo mi naona haiwezekani, kwa nini! Ukiangalia tu jinsi isp wetu walivyopandisha vifurushi vya data si rahisi mabasi mengi kuvutia na hiyo huduma ikitegemea kuwa watu wengine si wasitaarabu huenda wakafanya ndio sehemu za kumalizia matatizo yao, mfano mtu anatoka dar kwenda arusha si anaweza kusha series nzima kabisa
 
Back
Top Bottom