Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,109
Reaction score
3,054
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Kuna bus inaitwa Modern, inafanya kazi kati ya Mombasa, Tanga hadi Dar, ina Wi-Fi.

Ni jambo linalowezekana kabisa. Labda demand haijawa kubwa kiasi cha kuwafanya wamiliki watumie hiyo fursa kuvutia abiria.

Ndiyo maana mabasi yenye AC kwa siku za karibuni yamevutia sana wateja.
 
Abiria watumie bila kulipa?
au utaratibu wa kulipa utakuwaje.
Mimi huwa nabeba ka-router kangu tu mkuu
 
inawezekana ila sema tu wamiliki wa mabasi bado hawajaiona fulsa hii na ili inoge vizuri wangeanza na yale mabasi ambayo ni Luxury na Semi Luxury
 
Duh,,kweli wenzetu mnarahaa sana,,nyie mnafikiria wireless internet,,sisi huku tunafikiri nilini tutaepukana na hii shida yakukaa siti moja na mifugo kama vile mbuzi,bata ,kuku hata kiti moto ,,,
 
du hatari kwa kweli mfumo wa umeme wa hii kitu inabidi uwe wa solar maana sidhani kama wa gari utatosha
 
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Yes, inawezekana kabisa na si mabasi tu Bali hata kwenye treni
 
nimeona UK,mabasi ya safari ndefu yana huduma ya free Wi-Fi,yana socket za kuchajia sim,tablets,laptops nk.Kwenye nauli yako wame include na Wi-Fi charges,hata bongo ina wezekana wakiamua
 
Kumbe inawezekana.!! Wataalamu wa Tz wawashauri wenye mabasi hasa ya luxury kua na hii huduma.
 
nimeona UK,mabasi ya safari ndefu yana huduma ya free Wi-Fi,yana socket za kuchajia sim,tablets,laptops nk.Kwenye nauli yako wame include na Wi-Fi charges,hata bongo ina wezekana wakiamua

Mkuu harakat alikua na wasiwasi juu ya chaji ambayo basi litatumia kuendesha hii huduma ila kwa mfano huu nafikiri ataona hilo sio tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Haya ndio mawazo ya kusonga mbele. YAWEZEKANA NA HATUA ZICHUKULIWE NA WAHUSIKA.
 
nimeona UK,mabasi ya safari ndefu yana huduma ya free Wi-Fi,yana socket za kuchajia sim,tablets,laptops nk.Kwenye nauli yako wame include na Wi-Fi charges,hata bongo ina wezekana wakiamua

Our luxury single and double deckers offer free wi-fi, at-seat plug ins

bus2.jpg
 
Kama inawekana basi wasisahau na kila siti
kuweka sehemu ya kuchajia simu.
Last week kuna basi nilipanda toka Dom - Dar lina hii kitu, kila kwenye siti kuna sehemu ya kuchajia simu.
 
Back
Top Bottom