Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

Wireless Internet Kwenye Mabasi Inawezekana.!?

Inawezekana kabisa,kwa uzoefu wangu kidogo nilioupata nchi nyingine hiyo huduma ipo kwenye mabasi, hivyo hata Tanzania inawezekana kama wamiliki wa mabasi wakiamua.Nina imani ndiko tunakoelekea.
 
Abiria watumie bila kulipa?
au utaratibu wa kulipa utakuwaje.
Mimi huwa nabeba ka-router kangu tu mkuu
Kubeba router unamaanisha nini?
Kazi ya router ni kuleta internet? acha vituko bana, labda ulimaanisha modem.
 
Mkuu router kazi yake ni kuleta Internet, kuna device hazina sehemu ya kuconnect modem.
Mkuu, mi nijuavyo ni kwamba router inamtegemea coverage ya ISP wako ili kupata net, sasa kama uko kwenye basi na linasafiri umbali mrefu lazima net itakata somewhere. Router itakusaidiaje?
 
Mkuu, mi nijuavyo ni kwamba router inamtegemea coverage ya ISP wako ili kupata net, sasa kama uko kwenye basi na linasafiri umbali mrefu lazima net itakata somewhere. Router itakusaidiaje?
Zipo wireless modem zenye kutumia sim card ambazo zina battery lakini pia hutambulika Kama wifi router
 
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Taxi na viford vya Kenya vina vina hii kitu.
Lakini sioni tija yake wakati buddle ya 500 inatosha kabisa siku izi.
 
Kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya Wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

Inawezekana kabsa
 
Nchi zilixoendelea mabasi mengi yana mfumo huo
 
kuna mabasi yanafanya safari ndefu sana ambazo nyingine huchukua hata zaidi ya siku moja.

Naomba kuuliza jamani hivi kiutaalamu basi linaweza likafungwa mitambo ya wi~fi na ikafanya kazi ndani ya basi likiwa safarini na abiria kufaidi huduma hiyo?

ukija nairobi au mombasa mpaka matatu zina wireless internet na ni town trip na zinafanya kazi free of charge,nauli yako tu mkuu
 
Kubeba router unamaanisha nini?
Kazi ya router ni kuleta internet? acha vituko bana, labda ulimaanisha modem.
Modem na Router vyote vinauwezo wa kuconnect kwenye internet, inategemea na technology unayotumia.
 
Kubeba router unamaanisha nini?
Kazi ya router ni kuleta internet? acha vituko bana, labda ulimaanisha modem.

Modem yenyewe haileti intaneti?
Unafahamu tofauti ya Router na modem?
Unaijua universal router?
Acha vituko.
 
Na wale wasiohitaji huduma hiyo itakuwaje,huoni kuna raia watapewa mzigo?

Asiyeweza gharama atapanda bus nyingine zenye gharama tofauti. Sio mabasi yote yatakua na hii kitu.

Kama mtu hataweza luxury bus yenye wi~fi, atapanda ordinary bus.
 
Modem yenyewe haileti intaneti?
Unafahamu tofauti ya Router na modem?
Unaijua universal router?
Acha vituko.

uko sahihi mkuu..

Routers and modems are two of
the most common computer peripherals, yet
many people don't know the function of
each one. While the two devices may look
similar, they each serve a difference
purpose. Fortunately, the functions of the
two devices are pretty easy to understand.
A router is a small box that allows multiple
computers to join the same network.
While early routers provided several Ethernet
ports for wired connections, most modern
routers offer wireless connectivity as well.
These "wireless routers" often have one or
two moveable antennas on the sides,
though some models house the antennas
inside the enclosure. Wireless routers allow
multiple computers and other devices, such
as smartphones and tablets, to join the
same network.

While connecting to a router provides
access to a local network (LAN), it does not
necessarily provide access to the Internet.
In
order for devices on the network to connect
to the Internet, the router must be
connected to a modem
. Therefore, most
routers have a specific Ethernet port that is
designed to connect to the Ethernet port of
a cable or DSL modem.
A modem is a device that provides access to
the Internet.
The modem connects to your ISP, which
typically provides either cable or DSL Internet
service. Cable modems have a coaxial (or
"coax") connection, which is the same type
of connector found on a TV or cable box.
This connects to a cable port on the wall. DSL
modems have a telephone connector, also
called an RJ-11 jack, which connects to a
telephone socket on the wall.
By connecting your modem to your router
(instead of directly to a computer), all
devices connected to the router can access
the modem, and therefore, the Internet. The
router provides a local IP address to each
connected device, but they will all have the
same external IP address, which is assigned
by your ISP.
To summarize, the device connection order
is outlined below:

1. PC or wireless device
2. Router
3. Modem
4. ISP
5. Internet
While the router and modem are usually
separate entities, in some cases, the modem
and router may be combined into a single
device. This type of hybrid device is
sometimes offered by ISPs to simplify the
setup process.
 
Back
Top Bottom