Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

Namkubali sana huyu Mama!
Madiba alimwacha akiwa hot na miaka20+ ongeza 27yrs! Aisee no wonder she had affairs! Tena wangekuwa wengine baada ya Madiba kufungwa Maisha ndo wangezaa kabisa but she didn't!
Kuwa Violent ilikuwa lazima kwa mazingira ya ubaguzi dhidi ya weusi!
She was tough indeed!
R.I.P Winnie Mandela!
Ningekuwa mimi ndio Mandela ningetoka na kuchukua mke wangu. Naona ingekuwa uonevu kusema abaki na kitumbua unused kwa miaka yote hio. Naona alifanya sawa ila madiba angechukulia poa tu kwani mmama wa watu alikosa hope ya kusuguliwa baada ya mzee kuwa gerezani.
 
Nimekuja Dar mwaka 1978, miaka 40 iliyopita. Nimekulia mitaa ya Gymkhana, nimecheza ndani ya viwanja vya ikulu.
Umesema ulimuona mwaka 1990. Na wakati kipindi icho South Africa ndio moto ulikuwa umewaka na Mandela yupo Lupango. Mandela alitoka jera mwaka 1994. Aliyekusimulia iyo hadithi mwambie hakusimulie tena
 
Mkuu, mbona unataka kuchekesha watu humu ndani. Mandela alitoka jela mwezi february mwaka 1990, akaja nchini mwetu katika kipindi hicho hicho. Akapokelewa na Mwalimu Nyerere, kama sijakosea mzee Mwinyi ambaye ndiye alikuwa ni rais, hakuwepo nchini.

Mwaka 1994 ndipo alipoanza urais wake. Wewe ni mtoto mdogo usiyejua chochote, sasa ni bora kabla hujaleta dharau, ukatafuta kueleweshwa na waliokuzidi umri kabla hujaandika kitu mbele ya jamii.
 
Unatetea nini wakati yeye mwenyewe alikuja kukiri na kutubu?

Na katika miaka 27 ya jela ya Mandela, usiseme Winnie alibaki hivyo hivyo, hapana, alikuwa anadukuliwa na ki lawyer chake cha miaka 30 wakati yeye ana approach 60!

Sasa, mimi sisemi kwamba angejifungia chumbani miaka 27 hapana, Mandela mwenyewe alikuwa womanizer mchafu, Winnie pia alikuwa na haki ya kutafuta company, lakini tusiseme alibaki vile vile. Aliteka, aliua, alikula hela za ANC, alikula bata, na yeye aliliwa. Alikuwa anapiga hela za Jumuia ya Ustawi wa Jamii ya ANC anakipelekea ki lawyer cha ANC kilochokuwa kinam nanihii.
Sorry, swali nje ya maada hasa hapo kwenye bold. Tujaalie umri wako? Mengine yaelekea umefanya kusimuliwa au kusoma tu sehemu na waandishi hao ni wale waliokua against with this African queen, ANC walikua na pesa nyingi hivyo kweli!?
 
Mkuu, mbona unataka kuchekesha watu humu ndani. Mandela alitoka jela mwezi february mwaka 1990, akaja nchini mwetu katika kipindi hicho hicho. Akapokelewa na Mwalimu Nyerere, kama sijakosea mzee Mwinyi ambaye ndiye alikuwa ni rais, hakuwepo nchini.

Mwaka 1994 ndipo alipoanza urais wake. Wewe ni mtoto mdogo usiyejua chochote, sasa ni bora kabla hujaleta dharau, ukatafuta kueleweshwa na waliokuzidi umri kabla hujaandika kitu mbele ya jamii.
Haya basi shikamooo, ila ile ya Papa John Paulo wa pili umenikumbusha nilikuwa nimebebwa kipindi icho nina umri wa miaka 5. Kulikuwa na nyimbo zile za karibu karibu baba Mtakatifu, dah kitambo sana
 
Kuwa Violent ilikuwa lazima kwa mazingira ya ubaguzi dhidi ya weusi!
She was tough indeed!
R.I.P Winnie Mandela!

Hakuna anayemlaumu kwa kuwa violent dhidi ya makaburu. Hata Mandela alikuwa kiongozi wa ki red brigade cha kivita cha ANC.

Tatizo la Winnie alikuwa violent kwa weusi wenzie. Aliteka vijana weusi, alichoma wenzie matairi ya petroli shingoni, alikula hela ya Jumuia za chama alizoongoza mpaka akafukuzwa kwenye Jumuiaya, halafu akawa analiwa na kikada cha chama takriban nusu ya umri wake.

Kumbukumbu yake imechafuka milele.
 
Umesema ulimuona mwaka 1990. Na wakati kipindi icho South Africa ndio moto ulikuwa umewaka na Mandela yupo Lupango. Mandela alitoka jera mwaka 1994. Aliyekusimulia iyo hadithi mwambie hakusimulie tena
Du, Kazi wkeli kweli, basi sawa mkuu, pamoja na kwamba mimi sio mleta uzi but Mandela hakutoka mwaka huo; tungeweza kuwapa hata some tips kuonesha kua Mandela hakutoka mwaka huo, nakumbuka few months before Mandela hajatoka Jela kulikuaga na band moja ya music wa dansi Tanzania inaitwa Washirika Tanzania stars (watunjatanjata) ikiongozwa na kaka Hamza Kalala, kuna wimbo No 1 ulikua unasema, "Mandela ni mwana wa Afrca afunguliwe" na baada ya muda Mandela alitoka and then band hiyo hiyo ikaugeuza wimbo huo huo na kua Mandela mwana wa Africa kafunguliwa, mwimbaji na mtunzi kaka Eddie Shegy RIP, nafikiri ilikua mwaka 1989 if I'm not mistaken, wahenga wenzangu could remind me, hasa wale waliokua wapenzi wa nyimbo za dance Enzi hizo.
 
Umesema ulimuona mwaka 1990. Na wakati kipindi icho South Africa ndio moto ulikuwa umewaka na Mandela yupo Lupango. Mandela alitoka jera mwaka 1994. Aliyekusimulia iyo hadithi mwambie hakusimulie tena

Nelson Mandela with President Nyerere and Mama Maria Nyerere during his visit to Tanzania after his release in 1990 (source The ANC Archives)

Jiridhishe mkuu.
 
Kuna mwenye story kamili kwanini waliachana? Nani chanzo?
 
Hakuna anayemlaumu kwa kuwa violent dhidi ya makaburu. Hata Mandela alikuwa kiongozi wa ki red brigade cha kivita cha ANC.

Tatizo la Winnie alikuwa violent kwa weusi wenzie. Aliteka vijana weusi, alichoma wenzie matairi ya petroli shingoni, alikula hela ya Jumuia za chama alizoongoza mpaka akafukuzwa kwenye Jumuiaya, halafu akawa analiwa na kikada cha chama takriban nusu ya umri wake.

Kumbukumbu yake imechafuka milele.

hao weusi walikuwa masnitch walikuwa wanatumiwa na wazungu kuvujisha habari za ukombozi kifo ilikuwa staili yao
 
Mkuu naikumbuka sana siku ile alipokuja Marehemu Mandela na mke wake. Ilikuwa ni siku ya mvua, enzi hizo tukiwa wanafunzi wa sekondari, tuliruhusiwa kutoka mapema ili tumuone huyo gwiji wa Afrika ya kusini.

Mweeh hii lugha hii.. siyo rahisi sana kivile...
 
Back
Top Bottom