Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

Hakuna aliye mkamilifu. Note even Mandela was. Ingawa sasa hivi media za magharibi zinamuonyesha kama mama aliyekuwa mkaidi, muuaji nk. Nasema, hawa wote hawana hata chembe ya uzuri waweze kumkashifu huyu mama. alisimamia utu wa mwafrika kwa nguvu zake zote. Kipindi ambacho ilikuwa ni jinai kufanya hivyo. Hivi ni wanawake wangapi wenzi wao wanaweza kukaa gerezani miaka 27 na wakabaki walivyo?? Mwenyezi Mungu ndo mlipaji na muweza wa yote.

Wanasema eti alikuwa violent. Hivi kweli kwa utawala wa Makaburu mtu angeweza kutumia njia gani kupambana nao? Apartheid itself was violent!

Naamini huyu mama angekuwa mweupe hakika vyombo vya habari vya magharibi vingetoa taswira tofauti. Nimefarijika sana kuona serikali ya Afrika Kusini imeamua kumpa heshima zote anazostahili kama mpigania uhuru na utu wa taifa lake. Mwenyezi Mungu wa rehema ampokee na kumsamahe mapungufu yake yote. Amina.

Apumzike kwa amani mama Winnie Mandela!
Umemaliza kila kitu...R.I.P Mother of Africa Winnie Madikizela Rolhalhla Dalibunga Nelson Mandela (Madiba)
 
ila alikuwa mzuuri!!vijana wa zamani walikuwa wanajua kuchagua aisee..! ona nyerere,kingunge,Mandela,mugabe..
Wa Mugabe yupi sasa, yule wa awali, au huyu Giloo?
 
View attachment 733998
Kwanza nimtakie mapumziko ya amani, Winnie Madikizela Mandela, dada shupavu sana kuwahi kutokea Afrika.

Tulimsikia sana miaka ya 1960s, 70s , na 80s tukiwa mashuleni, akiongoza maandamano haya na yale huko Sauzi.

620x349

Pamoja na kipaji cha ujasiri, jamani Winnie alikuwa mzuri,mzuri, mzuri sana.
Alikuwa mzuri almost like a doll, and she was a doll!

Hivyo basi tuliposikia Mandela atakuja Dar mwaka 1990, mimi nikajiambia, ni lazima nikawatie machoni, hawa watu maarufu.

Nilijipanga pale Azania Front, na nikapata nafasi nzuri kuliona ROLLS ROYCE la Ikulu, lililowabeba Mandela , Winnie na Mwalimu, gari la wazi.
Watu walikuwa wengi, wengi,wengi.

Gari lilipopita pale Azania Front, akatokea bwana mmoja, si wa makamo yupo mbele, akapiga kelele kwa nguvu,
"TOTO HILOO LA UHAKIKA"
Watu wakacheka na kushangilia kwa nguvu, nahisi hata Mwalimu alisikia na kupungia.

Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kumuona Mandela na Winnie.
...I was there along side Nyerere road, as a small kid with my aunt.
...ya papa pia nilibahatika kuwepo, ila kwa kweli nilikuwa sijui impact ya hizi historical moments, nilikuwa nachukuliwa tu na ndugu tunaenda, mimi ilikuwa nikitolewa kwenda kupanda vilakshari na uda, roho inafurahi.
 
Mie nakunbuka mkutano wake pale diamond jubilee ,nilikua mdg na bi mkubwa
 
Hakuna aliye mkamilifu. Note even Mandela was. Ingawa sasa hivi media za magharibi zinamuonyesha kama mama aliyekuwa mkaidi, muuaji nk. Nasema, hawa wote hawana hata chembe ya uzuri waweze kumkashifu huyu mama. alisimamia utu wa mwafrika kwa nguvu zake zote. Kipindi ambacho ilikuwa ni jinai kufanya hivyo. Hivi ni wanawake wangapi wenzi wao wanaweza kukaa gerezani miaka 27 na wakabaki walivyo?? Mwenyezi Mungu ndo mlipaji na muweza wa yote.

Wanasema eti alikuwa violent. Hivi kweli kwa utawala wa Makaburu mtu angeweza kutumia njia gani kupambana nao? Apartheid itself was violent!

Naamini huyu mama angekuwa mweupe hakika vyombo vya habari vya magharibi vingetoa taswira tofauti. Nimefarijika sana kuona serikali ya Afrika Kusini imeamua kumpa heshima zote anazostahili kama mpigania uhuru na utu wa taifa lake. Mwenyezi Mungu wa rehema ampokee na kumsamahe mapungufu yake yote. Amina.

Apumzike kwa amani mama Winnie Mandela!
Hivi Mandela alitegemea Winnie miaka 27 hakuwa na ashki kweli?? Nina uhakika sababu ya kauchana ni jamaa lililokuwa linakula mzigo bado lilikuwa kando kando ya Winnie hata baada ya Mandela kutoka jela.
 
Aliwahi kuwapa papa baadhi ya watu wakati Mandela ananyea debe nyuma ya nondo

Mkuu kuwa fair. Huyu mama mume wake alifungwa maisha, tena na utawala wa makaburu. Wale jamaa kumuua Mwafrika jela ilikuwa kama kuua panda. Wengi sana walikufa, ilikuwa bahati Mandela alikuwa maarufu. Huyu mama hakuzaa nje despite alikuwa na miaka 20 tu jamaa alipofungwa. Huku bongo jamaa anafungwa miaka 10 akirudi mke hayupo. Huyu mama alikuwa bado pale vilakazi.

Watu wanagawa papa jamaa akiwa job, sembuse huyu jamaa akiwa jela?
 
Kuna hi misemo ya kisasa, mmoja unasema hivi, "kuna na mke mzuri sana ni sawa na kua na shamba la maembe karibu na shule" Hope hi ndio iliosababisha usimwone Winnie wakiwa na mzee Madiba
A beautiful woman is like fire, it destroys and leaves behind a desert!
 
Huyo aliyetembea na mke Mandela ashukuru Mandela alisamehe ila ingekuwa ni mbongo hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata sijui hahah
 
Hakuna aliye mkamilifu. Note even Mandela was. Ingawa sasa hivi media za magharibi zinamuonyesha kama mama aliyekuwa mkaidi, muuaji nk. Nasema, hawa wote hawana hata chembe ya uzuri waweze kumkashifu huyu mama. alisimamia utu wa mwafrika kwa nguvu zake zote. Kipindi ambacho ilikuwa ni jinai kufanya hivyo. Hivi ni wanawake wangapi wenzi wao wanaweza kukaa gerezani miaka 27 na wakabaki walivyo?? Mwenyezi Mungu ndo mlipaji na muweza wa yote.

Wanasema eti alikuwa violent. Hivi kweli kwa utawala wa Makaburu mtu angeweza kutumia njia gani kupambana nao? Apartheid itself was violent!

Naamini huyu mama angekuwa mweupe hakika vyombo vya habari vya magharibi vingetoa taswira tofauti. Nimefarijika sana kuona serikali ya Afrika Kusini imeamua kumpa heshima zote anazostahili kama mpigania uhuru na utu wa taifa lake. Mwenyezi Mungu wa rehema ampokee na kumsamahe mapungufu yake yote. Amina.

Apumzike kwa amani mama Winnie Mandela!

Yaani wazungu ni bure kabisa, hawahawa wazungu walilazimisha Mandela apokee Tuzo ya amani pamoja na De Clerk ambaye serikali yake ilihusika kwenye manyanyaso na mauwaji ya wafrica maelfu weusi. Halafu wanamsema huyu mama eti alikuwa muuwaji??? hapana kwakweli. RIP African beuty
 
Hakuna aliye mkamilifu. Note even Mandela was. Ingawa sasa hivi media za magharibi zinamuonyesha kama mama aliyekuwa mkaidi, muuaji nk. Nasema, hawa wote hawana hata chembe ya uzuri waweze kumkashifu huyu mama. alisimamia utu wa mwafrika kwa nguvu zake zote. Kipindi ambacho ilikuwa ni jinai kufanya hivyo. Hivi ni wanawake wangapi wenzi wao wanaweza kukaa gerezani miaka 27 na wakabaki walivyo?? Mwenyezi Mungu ndo mlipaji na muweza wa yote.

Wanasema eti alikuwa violent. Hivi kweli kwa utawala wa Makaburu mtu angeweza kutumia njia gani kupambana nao? Apartheid itself was violent!

Naamini huyu mama angekuwa mweupe hakika vyombo vya habari vya magharibi vingetoa taswira tofauti. Nimefarijika sana kuona serikali ya Afrika Kusini imeamua kumpa heshima zote anazostahili kama mpigania uhuru na utu wa taifa lake. Mwenyezi Mungu wa rehema ampokee na kumsamahe mapungufu yake yote. Amina.

Apumzike kwa amani mama Winnie Mandela!

Unatetea nini wakati yeye mwenyewe alikuja kukiri na kutubu?

Na katika miaka 27 ya jela ya Mandela, usiseme Winnie alibaki hivyo hivyo, hapana, alikuwa anadukuliwa na ki lawyer chake cha miaka 30 wakati yeye ana approach 60!

Sasa, mimi sisemi kwamba angejifungia chumbani miaka 27 hapana, Mandela mwenyewe alikuwa womanizer mchafu, Winnie pia alikuwa na haki ya kutafuta company, lakini tusiseme alibaki vile vile. Aliteka, aliua, alikula hela za ANC, alikula bata, na yeye aliliwa. Alikuwa anapiga hela za Jumuia ya Ustawi wa Jamii ya ANC anakipelekea ki lawyer cha ANC kilochokuwa kinam nanihii.
 
Mkuu naikumbuka sana siku ile alipokuja Marehemu Mandela na mke wake. Ilikuwa ni siku ya mvua, enzi hizo tukiwa wanafunzi wa sekondari, tuliruhusiwa kutoka mapema ili tumuone huyo gwiji wa Afrika ya kusini.

Mimi nilisimama pale pembeni ya wizara ya elimu, msafara ulikata kona pale wizara ya ardhi. Tuliwashangilia sana RIP Mandela na RIP Nyerere.

Mwaka huo huo 1990 akaja nchini RIP Papa John Paul, ilikuwa mwezi wa tisa, ibada ikafanyika pale jangwani.
Kumbe tupo wengi wa long time.
Papa alipokuja alilala ubalozi wa Papa pale Masaki.
Siku ya pili nafikiri, akitoka misa Jangwani, nilikuwa sehemu za Colloseum pale, mara pikipiki za polisi zikatushurutisha tupishe njia.
Nilikuwa natoka mjini, nikapaki gari.
Kuliona Rolls Royce iliyombeba Papa John Paul ,nikashuka kwenye gari na kumchukua binti yangu wakati huo yuko 3/4 year.
Nikamnyanyua mkono kumpungia Papa.
NAYE AKAPUNGA.
Nilifurahi sana kwa hiyo baraka, hadi leo.
 
View attachment 733998
Kwanza nimtakie mapumziko ya amani, Winnie Madikizela Mandela, dada shupavu sana kuwahi kutokea Afrika.

Tulimsikia sana miaka ya 1960s, 70s , na 80s tukiwa mashuleni, akiongoza maandamano haya na yale huko Sauzi.

620x349

Pamoja na kipaji cha ujasiri, jamani Winnie alikuwa mzuri,mzuri, mzuri sana.
Alikuwa mzuri almost like a doll, and she was a doll!

Hivyo basi tuliposikia Mandela atakuja Dar mwaka 1990, mimi nikajiambia, ni lazima nikawatie machoni, hawa watu maarufu.

Nilijipanga pale Azania Front, na nikapata nafasi nzuri kuliona ROLLS ROYCE la Ikulu, lililowabeba Mandela , Winnie na Mwalimu, gari la wazi.
Watu walikuwa wengi, wengi,wengi.

Gari lilipopita pale Azania Front, akatokea bwana mmoja, si wa makamo yupo mbele, akapiga kelele kwa nguvu,
"TOTO HILOO LA UHAKIKA"
Watu wakacheka na kushangilia kwa nguvu, nahisi hata Mwalimu alisikia na kupungia.

Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kumuona Mandela na Winnie.
Asante mkuu. Nakumbuka mie nilikuwa pale mnazi mmoja kwenye zile trafic light nikiwa na uniform yangu ya Tambaza sec school by then nilikuwa form three yaani nilikuwa na hamasa kubwa sana ya kumuona huyu gwigi na mpambanaji wa ubaguzi wa Rangi barani Africa. Cha kushangaza ilikuwa ni Mara yangu ya kwannza kumuona Mwl Nyerere live. So niliua ndege watatu kwa jiwe moya hahah asante sana kiongozi
 
Kumbe tupo wengi wa long time.
Papa alipokuja alilala ubalozi wa Papa pale Masaki.
Siku ya pili nafikiri, akitoka misa Jangwani, nilikuwa sehemu za Colloseum pale, mara pikipiki za polisi zikatushurutisha tupishe njia.
Nilikuwa natoka mjini, nikapaki gari.
Kuliona Rolls Royce iliyombeba Papa John Paul ,nikashuka kwenye gari na kumchukua binti yangu wakati huo yuko 3/4 year.
Nikamnyanyua mkono kumpungia Papa.
NAYE AKAPUNGA.
Nilifurahi sana kwa hiyo baraka, hadi leo.
Papa aliwasili jumamosi jioni, akaenda moja kwa moja pale saint joseph kwa ajili ya misa.

Kesho yake jumapili asubuhi tukaenda jangwani kwa maandamano. Ni kama jana tu lakini naongelea septemba 1990, kina Wema Sepetu na Diamond walikuwa bado hawajui nini kinaendelea duniani.
 
Back
Top Bottom