Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

Winnie Madikizela Mandela alipokuja Dar 1990

Mkuu kumbe na wewe ...uliingia mjini mapema. Hongera zako.

Miaka hiyo Dar Es Salaam wengine tunaisikia kwenye Radio Tanzania! (wengi wetu radio maarufu ilikuwa KBC- Mambo mbotela!)

Huyu Mungu huyu? Ni wa wote aiseee!
Wewe utakuwa umetoka kule kwetu ziwani. RTD ilikuwa haipatikani vizuri. Mambo Mbotela - Je, huu ni uungwana? Wakongwe tuko wengi ati.
 
Polisi wa SA wakati huo walikuwa wanamuogopa Winnie zaidi ya Mandela.
Alikuwa unstoppable.
 
Mkuu kumbe na wewe ...uliingia mjini mapema. Hongera zako.

Miaka hiyo Dar Es Salaam wengine tunaisikia kwenye Radio Tanzania! (wengi wetu radio maarufu ilikuwa KBC- Mambo mbotela!)

Huyu Mungu huyu? Ni wa wote aiseee!

hahahaa.aise tulikuwa wote madongo kuinuka! habari tunasikilizia kwenye mkulima yetu.
 
image.jpeg

Kwa muda mrefu katika ile miaka 27, Winnie aliishi hapa, plot 8115 Vilakazi Street, Orlando.
Nimebahatika kufika hapo, sasa ni nyumba ya makumbusho.
Huyo picha ya Winnie akiwa bombani, ni hako kabomba kapo hata leo ukutani.
 
image.jpeg

Ndani ya nyumba ya Mandela Vilakazi Street, Orlando Soweto, kuna maboot aliyorudishiwa na mama wa Kitanzania alipokuja kwa ziara 1990.
Nimeyashuhudia maboot hayo kule Soweto.
Aliyaacha maboot haya alipokuwa anasafiri kwenda nje ya Tanzania kwa mafunxo ya kijeshi.
 
View attachment 733998
Kwanza nimtakie mapumziko ya amani, Winnie Madikizela Mandela, dada shupavu sana kuwahi kutokea Afrika.

Tulimsikia sana miaka ya 1960s, 70s , na 80s tukiwa mashuleni, akiongoza maandamano haya na yale huko Sauzi.

620x349


Pamoja na kipaji cha ujasiri, jamani Winnie alikuwa mzuri,mzuri, mzuri sana.
Alikuwa mzuri almost like a doll, and she was a doll!

Hivyo basi tuliposikia Mandela atakuja Dar mwaka 1990, mimi nikajiambia, ni lazima nikawatie machoni, hawa watu maarufu.

Nilijipanga pale Azania Front, na nikapata nafasi nzuri kuliona ROLLS ROYCE la Ikulu, lililowabeba Mandela , Winnie na Mwalimu, gari la wazi.
Watu walikuwa wengi, wengi,wengi.

Gari lilipopita pale Azania Front, akatokea bwana mmoja, si wa makamo yupo mbele, akapiga kelele kwa nguvu,
"TOTO HILOO LA UHAKIKA"
Watu wakacheka na kushangilia kwa nguvu, nahisi hata Mwalimu alisikia na kupungia.

Ndio mara ya kwanza na ya mwisho kumuona Mandela na Winnie.
South African women are strong and powerful by nature.Mtazame hata Miriam Makeba.She was so vibrant and intelligent
 
Kilichomuudhi Mandela, pamoja na kusahau yaliyopita wakaanza maisha upya baada ya kutoka gerezani, bado alikuwa anachepuka!
Hapa inahitaji mtu ..mwenye roho ya chuma kuvumilia!
R.I.P. Heroine Winnie
sasa suluba alizozipata mandela kule robin bado alikuwa anaweza majamboz? tumsamehe mama bure na naamin naye alitubu kabla ya kulala mauti
 
Mnanikumbusha 1990 nlipokuwa na miaka 70 kwa hakika muda unakwenda sana dah RIP Winnie
 
sasa suluba alizozipata mandela kule robin bado alikuwa anaweza majamboz? tumsamehe mama bure na naamin naye alitubu kabla ya kulala mauti
Haswa, naamini hata Mandela alishamsamehe.
 
Nikuambie umri wangu ndio ujue kama nina hakika?

Kwani mbona wengi tunajua Adam aliingia nyumbani mwa Hawa, kuna mtu hapa ana umri wa kulishuhudia hilo?

Nimesema Winnie alipiga hela za chama unasema ANC ilikuwa na pesa ngapi, kwani nimesema aliiba a billion dollar?

Winnie alikutwa na hatia mahakamani, na akafukuzwa kwenye Jumuia ya chama.

Unasema vyombo vya nje vinampakazia. Dunia ilimpenda sana Mandela mfungwa, Mandela Rais, na mstaafu, vyombo vya dunia havina sababu ya kumchafua mkewe Winnie for no reason.

Tena Wazungu walimpenda sana Winnie kwa sababu alikuwa anakataa ule uke wa Kiafrika, kwenye interviews miaka ya 70 alikuwa anasema yeye sio mbeba maua kwenye kivuli cha Mandela. Kwanza alikutana na Mandela ofisini kwa Oliver Tambo, kwa hiyo yeye mwenyewe Winnie alishapagawa kwenye harakati kitambo, Mandela hamwelezi kitu maisha haya. Hizo quality za mwanamke kidume Wazungu wanapenda sana lakini ali disappoint kila mtu.

Winnie aliharibu legacy yake kwa kuanza kuteka wenzie, kuua, kula hela za chama, na kutoka na viana sheria vya chama nusu ya umri wake.
Winnie hata kama slikutwa na hatia, she was a proven freedom fighter.
 
She was a fighter but a very flawed person
Nadhani hilo ndio huwa lina hatibu CV yake
 
Aliwahi kuwapa papa baadhi ya watu wakati Mandela ananyea debe nyuma ya nondo
Mnamsakama sana mama wa watu sasa mumewe alihukumiwa kifungo cha maisha mlitaka nyege zake ziishe vipi katika huo muda wa miaka 27. Tena alikuwa mvumilivu hakuolewa, maana ingekuwa Winnie ndo kafungwa Mandela angeoa mke mwengine na angemtalikia hukohuko jela
 
She was a fighter but a very flawed person
Nadhani hilo ndio huwa lina hatibu CV yake
Wengi wenu mnashindwa ku appreciate mentality ya freedom fighter akiwa war front.
Winnie alitendewa unyama naye ilibidi awe mnyama kusurvive hadi miaka 81.

Wengi sana wenzake walipotea kitambo.
Fuatilia hata Maisha ya mke wa kwanza wa Samora Machel, Josina Machel.
Alikufa mchanga kabisa wakati wa kupigania uhuru.
RIP Winnie, you survived agaist all odds.
 
Mafarao wa kike walikuwa design ya Winnie!
 
Back
Top Bottom