mbung'o muba
Member
- Apr 2, 2012
- 10
- 1
:embarrassed: Kuna msafala mkubwa sana wa kenge ambao ndani mwake kuna mamba! tahadhari yangu kwa CHADEMA kufumba macho ni kuandaa kaburi, mwenyekiti kuwa tayari kuwapokea wanachama hao wageni wanaojivua magamba lakini uchunguzi wa kina ufanyike kabla hawajakabidhiwa madaraka. Nguvu ya umma iamue..............usafi wao uchunguzwe..........malengo yao yachunguzwe.............