Windows phone fans: Windows phone mobile 10 is officialy out

a86c6699-6ed7-4d81-a69d-8fb642f38101.jpg

Hii simu mpaka leo haijafika Tanzania, nafikiri kwa price/features hii ni one of the best looking and affordable smartphone
 
Hivi naweza pata betri za mugen power haps bongo nataka nipate yenye mAh hata 5000 Ili niweze enjoy ulimwengu huu wa window ten kwa raha zaidi
 
Kwa wale fans wa Windows phone, Tayari annivesary update kwa windows phone ishatolewa kwa baadhi ya simu zinazotumia windows. Binafsi natumia Lumia 640, Mwaka jana nilisema ngoja nitest ladha ya WP10. Nikaingia katika insider rings na kuupdate kwenda WP10 preview.

Bahati mbaya nilikuwa disappointed sana, kwani baada ya updates kadhaa simu ilikuwa na matattizo lukuki kama vile app kucrash bila sababu, Na tatizo sugu la simu kuisha chaji haraka. Kwani kuna update moja nilifanya simu ilikuwa inaisha chaji baada ya masaa manne, haikujalisha umeitumia ama laa. Nikaona isiwe tabu. Acha nifall back to WP8, nikarudi zangu WP8 na simu kurudi katika normal mode. Maisha yakaendelea.

Sasa August 16 Microsoft wametoa official release ya windows phone 10. Kuipata na kujua kama simu yako inauwezo wa kupata WP10, nedha katika market, download app inayoitwa "Upgrade advisor". Ukishaipata hii app itakueleza na kukuguide through whole upgrade process. kutokana na reviews nyingi mitandaoni zinasema matatizo sugu ya charge, simu kuhang, na app kucrash yamekwisha.

Pia inashauriwa kama ulikuwa na windows phone 10 preview hapo kabla uliyoipata katika isider rings, just fall back to WP8 kwanza. Then uanze fresh WP10 annivesary update kwa kupitia upgrade advisor. Binafsi baada ya microsoft kutoa annivesary update nilikuwa nangoja reviews za wadau nione kama hayo matatizo ya WP10 niliyokumbana nayo yaliyokuwa katika preview version yamekwisha au laa. Wadau wengi walioenda WP10 annivesary update wamerecomend vizuri. So i am preparing kufanya major update ya WP10.

Kumbuka kufanya backup ya files zako muhimu kama vile picha, video, docs etc kabla ya kufanya update. kwani zitapotea baada ya kuupdate.


So nawakaribisha wadau wote wa windows phone hususan wale walioupdate OS kwenda WP10 anniversary kutoa experience zao baada ya kufanya updates.
Mkuu unaweza nisaidia link ya kupata hiyo W10 pro kwa pc?! ahsanteh
 
Nina Lumia625 imevunjika kioo mwanzo ilikuwa imevurugika touch naomba msada kama kuna mtu mwenye namba za mtu yeyote wa midcom aniwekee hapa au anitumie Pm,namba za kampun nikipiga simu hazendi.
 
Pia mwenye idea na bei za kioo cha 625 anisaidie ili nijue najipanga panga vipi.
 
Pia mwenye idea na bei za kioo cha 625 anisaidie ili nijue najipanga panga vipi.
Mkuu hyo simu tatizo touch au kioo? Unaweza pata kariakoo bei ya kioo andaa kuanzia elfu 20 kuendelea,Touch pia andaa kuanzia elfu 15 kuendelea hiyo ni bila ufundi kifupi inatakiwa uwe kama na elfu 50
 
Iv kuna uwezekano wa kubadilii font style kwenye windows phone?


Sent from mTalk
 
os ya ma icon ya rectangle ngoja nisubiri TIZEN
sio icon ni tiles, zinatoa information
PCd7j0S.png


unaona hapo juu? nimeeka apps 3 na zina information tofauti
1. App ya manchester united inanipa vichwa vya habari, ratiba na muda wa mechi ijayo, pia stats ndogo ndogo bila kufungua app
2.storage sense inanionyesha kiasi gani kimebakia kwenye memory card na storage ya simu
3. data sense inanionyesha matumizi yangu ya data pia naweza kuiset kutokana na kifurushi, mfano nimenunua kifurushi cha mb 300 cha wiki nitaeka mb 300 kila ninavyotumia nazo zinapungua

kunamambo mengi unaweza fanya kwenye hizi live tiles
 
Mkuu hyo simu tatizo touch au kioo? Unaweza pata kariakoo bei ya kioo andaa kuanzia elfu 20 kuendelea,Touch pia andaa kuanzia elfu 15 kuendelea hiyo ni bila ufundi kifupi inatakiwa uwe kama na elfu 50
Tatizo lilianzia kwenye touch kaka,nikitaka kuandika sms mfano nikiandika M ilikuwa inaandika A na kujitoa lock bila kujua,nadhan tatizo ni programming ndiyo maana nataka nkawaone midcom ila kioo kilivunjika baada ya tatizo hilo,hii issue ya kioo nitaimaliza hapo kkoo.
 
Mimi simu yangu ni Nokia lumia 530....tatizo lake kuna wakati sms za kawaida au whasap zikiingia inastack....mpaka niizime-niiwashe tena ndo iwake...pili nawezaje kuiupdate kuelekea hiyo window 10 mana yangu ni window 8.1.....na kunawakati nikitaka kudownload app inakubali mara nyingine inakataa....inaniletea mambo ya kuitaji wifi wakati wifi inakuwa ipo on.....je hapa tatizo ni nini wakuu?,Msahada wakuu.
 
Back
Top Bottom