Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 3,971
- 4,479
Haipokei win 10, yaani hapo ndo imeshafika mwisho, kuhusu tatizo la msg fanya update ya hizo application mara kwa mara ikishindikana Restore factory, pia angalia kama software version ya simu yako kama ni Lumia Denim update 1 au vipi?Mimi simu yangu ni Nokia lumia 530....tatizo lake kuna wakati sms za kawaida au whasap zikiingia inastack....mpaka niizime-niiwashe tena ndo iwake...pili nawezaje kuiupdate kuelekea hiyo window 10 mana yangu ni window 8.1.....na kunawakati nikitaka kudownload app inakubali mara nyingine inakataa....inaniletea mambo ya kuitaji wifi wakati wifi inakuwa ipo on.....je hapa tatizo ni nini wakuu?,Msahada wakuu.