Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,152
- 15,604
Lumia 640 na lumia 535
Ktk simu zako moja ingia setting washa data,scroll down,internet sharing iweke On hapo kwa chini pana password utazozitumia ili kuruhusu sharing ila hakikisha una bundle at least 2Gb kama alivyosena mkuu hapo juu.hiyo unayotaka kui-update washa WiFi itakudai password ingiza namba au maneno yaliyo ktk simu ya mwanzo.kama sikueleweka wadau watakuja kujazia nyama,good luck.Kituu
Inanikomandi mkuu niwe na wifi nielekeze de way nitaweza tengeneza wifi kupitia simu zangu mbili ili niweze fanya hiyo makitu