Windows phone fans: Windows phone mobile 10 is officialy out

Mkuu nimetokea kuzipenda hizi simu naweza kupata mpya ambayo inakuja na os ya window 10 kwa bajeti ya 1 million hapa dar
 
Kariakoo mtaa wa uhuru na msimbazi kama unaenda mnazi mmoja kwenye kona pale round about, upande wa kushoto lakini kama unaenda mnazi mmoja kuna duka ambalo lipo Updated mimi huwa ndo nanunua hapo, kaulizie Microsoft Lumia 950 XL LTE
 
Pouwa mkuu nitatembelea nikacheki lakini inaitaji umakini siunaweza kuuziwa kitu cha clone
 
Music na Picture hamishia kwenye Memory card, Sms backup OneDrive, Contacts zenyewe zinakaa kwenye Microsoft account. Yaani uki Signin kwa email yako ya Microsoft account contacts zako zote zinarudi

Mkuu utanisamehe kwa usumbufu....hiyo microsoft acount sina na utaratibu wake ukoje wa kuifungua.....na maelekezo jinsi ya kuzuhamjshia hizo contct plz.
 
Kama huna Microsoft account apps store unadownload vipi? Yaani Windows Phone ni kama Android na Playstore. Bila Microsoft Account huwezi download Applications kwenye Windows Phone store
 
Hebu tusaidiane kwa hili kwenye internet eploler naona maandishi ni madogo sana tofauti na ilivyokua kwa window 8.1 denim sasa kila ninapojaribu kufanya kwenye setting maandishi yakue naona kama vile bhado kabisa ni madogo ingawa nimeselekt font size large nifanyaje ?

Lumia 950 using mtalk
 
Mku
Mkuu mi natumia lumia 535 dual window 8.1 lkn baadhi ya apps km hii ya JF siipati ni mpk nibrowse na sipendi kuingilia uko.
Nifanyeje niipate app kamili?
Download mtalk ama tapatalk, kisha add JF
 
Hebu tusaidiane kwa hili kwenye internet eploler naona maandishi ni madogo sana tofauti na ilivyokua kwa window 8.1 denim sasa kila ninapojaribu kufanya kwenye setting maandishi yakue naona kama vile bhado kabisa ni madogo ingawa nimeselekt font size large nifanyaje ?

Lumia 950 using mtalk
Nenda Settings>Ease of Access>More Settings>Text Scaling
 
jmn nahitaji kuapdate account yangu ya whatsap inaniambia niwashe wife je wife nawashaje natumia lumia 525.
 
je kwa sisi tunaotumia nokia lumia 1320 tumo kwenye hili au tumetupwa?
 
Nilishalijibu hili namna ya kulitatua..... Ingia Store>Settings>Only get updates over Wi-Fi weka Off
 
mkuu nimeweka off ila inaniletea hii meseji
 
Attachments

  • wp_ss_20160916_0001.png
    wp_ss_20160916_0001.png
    10.8 KB · Views: 42
Msaada ku-delete account ya outlook kwenye lumia 535. Aliyenipa alisign kwa email yake.
 
Wakuu Habari za jumapili....natanguliza shukrani kwenu....msaada wenu unahitajika,natumia Microsoft Lumia 640XL LTE single sim Na Nipo kwenye Windows insider preview program Na natumia Windows 10... sasa hii simu inanisumbua balaa kila program nitakayofungua inakataa inanirudisha home screen yaani napata tabu Sana....

Sent from mTalk
 
Wakuu msaada simu yangu inagoma kuupdate kwenda windows 10
wp_ss_20161125_0001.png
 
Back
Top Bottom