Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,163
- 5,623
Windows ina meneja wake kwa ajili ya drivers. Kwa nini ulazimishe Windows 10 iwe compatible na hiyo third-party software?Ilinishinda mwanga ulikuwa mkali sana. Vitufe vya kuongeza mwanga na kupunguza pia vilikuwa havifanyi kazi.
Nikapiga driver pack solution ikakataa.
Sababu zako sioni kama ni valid kwa sababu ni kukosea. Most of the Time natumia Linux but kwa Windows sishauri any Win 8.x version. It was a failure!
Nashauri Windows XP kwa kompyuta za zamani sana na kama at least recent tumia Windows 7 au 10.
Windows 8 ni no! no! no!