Windows choice: Ipi ni nzuri kati ya hizi?

Windows choice: Ipi ni nzuri kati ya hizi?

Mkuu juzi tu niliweka window 10 ilinishinda mwanga ni mkali na haipungui. Zote zina window defender 8, 8.1 & 8.1.1
Km unasimu hapo install Joikuspot halafu isearch kwenye window 8.1 km utaipata?
Unaijua joikusport?
Nimetumia window zote na pia najua mapungufu yake

DRIVER PACK SOLUTION UKIPIGA KWENYE WINDOW 10 HATA HAIFUNCTION KBSA.
Tafuta Snappy Driver Installer (SamDrivers), Windows 10 iko vizuri sana, kuhusu Kaspersky ni kweli wakati inatoka mwaka jana Kaspersky mpaka ya 2015 ilikua inagoma kuinstall, ila walishafix hiyo issue kama una Kaspersky 2016 inainstall vizuri tuuu...
 
Windows 10 imekuja mapemaaaa baada ya windows 8 kuwa na mapungufu mengi yaliyo lalamikiwa na watumiaji.... Windows 10 iko poa zaidi hasa kwa wazoefu wa computer ila 8 na 10 zinakaugumu ktk matumizi ikiwa ni pamoja na kubadilishwa eneo la start...kaa ukijua kila toleo la window linakuja likiwa na maboresho ikiwa ni pamoja na kutatua matatizo ya toleo la awali...unashauriwa kutumia windows 10 ambayo imeboreshwa kulingana na ukuaji wa teknolojia..itashangaza karne hii i7 ukawa unakomaa na xp....ila kwa matumizi ya kazini ambayo sio binafsi window 7 inaweza kuwa bora mana ipo kikazi haina urembo urembo usio na matumizi kwa mtanzania.Mambo mengine yanakuwa bora hukohuko ulaya sisi wa mwendo kasi magumashi tu.NI MTAZAMO TU
 
Mkuu install window 8 ndiyo nzuri na pia inasoftware nyingi.
-Window 8.1 kuna baadhi ya program inakataa mfano wale wanaotumia nokia kuna program inaitwa Joikuspot inakataaa kbsa hata kaspersky antivirus inakataaa.
-Window 10 ina program chache na tatizo lake inamwanga mkali na huwezi kupunguza hata ukipiga driver pack solution inakataaaa
-window 8.1.1 nayo ni kimeo tu

Window ninazozikubali ni 7 & 8 pro sbb ni rahisi kutumia, zina features na program nyingi.. Bit 64 ndiyo mwake
Kabisa mkuu 7 ila iko poa sana
 
Ni mtazamo wako. Kila mtu anafunguka kulingana na uzoefu. Sasa km ww uelewa wako unamtegemea mtu mwingine. Shauri yako.
Mm window zote nimetumia mkuu, najua mapungufu yake.
Au kwa vile Mkwawa aliposema window 10 ni nzuri? Hakuna la maana kwenye window 10 zaid ya kucopy kweny window 8.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KM UNGEKUJA NA MTAZAMO WAKO.
HALAFU MKUU UTAMPINGAJE MTU KWA HOJA YA KIJI.NGA NAMNA HIYO? FUNGUKA USIWE KAMA MTOTO WA DARASA LA KWANZA.
Kama huelewi mambo mengine bora ukauliza kuliko kusema una experience wakati unachokiandika ni tofauti.

Umesema windows 10 haipungui mwanga,kama una uelewa mzur ilikua ni issue ya driver tu hapo,ulitaka tukuweke video hapa ikionyesha mwanga unavyopungua na kuongezeka?

Pia unasema windows 10 ina program chache,hivi ni program gani ambayo ni very useful na still developers wameiacha kweny windows 8 kurud nyuma?
Pia unatakiwa kuwa mtu wa maendeleo,yani watu watoe windows 10 wewe uwaze kurud nyuma ,huwez compare performance ya windows 10 na Windows za nyuma ,Windows 10 imetoa boost kwa cpu nying tu

Pia nimesha tumia kerspersky kwenye Windows 10 update ya anniversary sasa sijui uliweka kerspersky ya 2013

Kingine Microsoft nayeye amehamisha nguvu zote kwenye windows 10 na sio hizo windows za nyuma, the same kwa developers

Alafu unaongelea joiku spot leo hii? You need to check your self bro!

Ni sawa na kusema android lolpop ni the best compared na marshmallow au nougat .
 
Mim nazan zote nzuri tu japo Windows 10 ni nzuri zaid maana ni latest,ila msema kwel mpenzi wa Mungu nimetumia 7, Windows 8 na Windows 10 lakin mwishowe nimerud 7..hii nazan inanitosha kabisa maana 10 haikunisumbua kabsaaa na laptop yangu ni touchscreen ila skuipenda tu Windows 10.
 
Chief nielekeze namna ya kutoa driver kwenye website ya laptop yangu, naona ka point yako iko vizuri.
assume laptop yako inaitwa lenovo g575 andika google

lenovo g575 drivers

majibu ya mwanzo kabisa utaona website ya lenovo ingia hapo utakuta drivers zote za laptop yako.
 
1. tatizo la mwanga inamaana hujaeka drivers za graphics, itakuwa hio windows 8 yako ilikuja na pc na hizo drivers zilikuwa pre installed tayari.

2. joikuspot ni ad-hoc windows zote zina adhoc zinaweza tu kutofautiana jinsi ya kuset

3. hakuna program inayoingia kwenye win 8 ikatae kwenye 8.1 au 10 taja hio program nitest kwenye machine yangu

4.driver pack solution ni takataka watu wanazokusanya pamoja hivyo itategemea zimekusanywa lini, windows 10 ni ya 2015 usitegemee driver pack solution ya 2014 kushuka ikafanya kazi na windows 10. driver toa kwenye website ya laptop yako na sio driver pack.

5.
Heko mkuu
 
Hatuwezi kuona unapoteza raia katika jukwaa tukakaa kimya. Hili ni jukwaa tofauti na yote unayoyaona humu JF. Humu we care about facts and sharing.

Na hii ni science, hamna siasa humu ni facts tuu hakuna porojo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu!!.
 
Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
for my side napendelea windows 7 lakini kitaalum windows 10 ni bora zaidi kwa kuwa ipo secure zaidi. ina more security features that the oldest windows versions
 
assume laptop yako inaitwa lenovo g575 andika google

lenovo g575 drivers

majibu ya mwanzo kabisa utaona website ya lenovo ingia hapo utakuta drivers zote za laptop yako.
OK. Computer yetu ni Toshiba, namba zake naangalia wapi?
 
Mkuu hili jukwaa siyo la watu wachache. Ni vizuri kuheshimu mawazo ya mtu. Sijakulazimisha unaquote. Nimeeleza kulingana na uzoefu wangu.
Sasa km mtazamo wangu na wako ni tofauti ni vizuri upite kushoto tu. Hatupo hapa kubishana, tupo kwa ajili ya kuelimishana.
Kwahiyo mawazo ya mtu yaheshimiwe.
KM ULIKUWA NA UCHUNGU SANA NA MTOA UZI KWANN HAKUW MTU WA KWANZA KUCOMMENT?

jamaa unapuyanga kinomanoma! mambo kama haya hayajadiliwi kwa kufuata mawazo ya mtu bali uhalisia, je ni kweli window 10 hairuhusu kupunguza mwanga? au wewe ndo hujui jinsia ya kufanya mwanga upungue!! hii ni sayansi mullah sio siasa
 
Windows 7 ni best & simple kutumia but ishakuwa old! Window 10,8.1&8 ni nzur coz ni latest n zko fasta kuliko windows 7 but zna hitaji pc ambayo ina procesor nzur n kubwa.

Yangu ni hayo tu!
 
Windows 10 imekuja mapemaaaa baada ya windows 8 kuwa na mapungufu mengi yaliyo lalamikiwa na watumiaji.... Windows 10 iko poa zaidi hasa kwa wazoefu wa computer ila 8 na 10 zinakaugumu ktk matumizi ikiwa ni pamoja na kubadilishwa eneo la start...kaa ukijua kila toleo la window linakuja likiwa na maboresho ikiwa ni pamoja na kutatua matatizo ya toleo la awali...unashauriwa kutumia windows 10 ambayo imeboreshwa kulingana na ukuaji wa teknolojia..itashangaza karne hii i7 ukawa unakomaa na xp....ila kwa matumizi ya kazini ambayo sio binafsi window 7 inaweza kuwa bora mana ipo kikazi haina urembo urembo usio na matumizi kwa mtanzania.Mambo mengine yanakuwa bora hukohuko ulaya sisi wa mwendo kasi magumashi tu.NI MTAZAMO TU
mkuu windows zinatoka kila baada ya miaka 3 hakuna ya mapema.

windows 10 ni 2015
windows 8 ni 2012
windows 7 ni 2009

sema windows 10 ndio latest haitatoka windows nyengine, watai update hio hio
 
JF NI JUKWAAA HURU NA KILA MTU ANAMTAZAMO WAKE. KUNA WENGINE WANAJIONA WAO NI BORA ZAIDI KULIKO WENGINE. NI VIZURI MAWAZO YA MTU YAHESHIMIWA KM UNAJIONA NI BORA SANA KWANN BADO MPAKA LEO UNATUMIA SOFTWARE ZA WENGINE?
Kwann usitengeneze zako km ww ni nondo sana? Mm nimeeleza kulingana na uelewa wangu halafu from nowhere mtu anasema ''si kweli'' halafu anakaa kimya, huu si ujinga kiwango cha PHD.
Km mtu kakosea ni vizuri ueleze from A-Z na siyo kukaa kimya.
CHA KUSHANGAZA MTU ANAYEJIONA BORA KULIKO WENGINE BADO ANATUMIA VITU ALIVYOTENGENEZA MWANAUME MWENZAKO.
Kweli Mkuu halafu wengine tunapata knowledge kubwa sana endapo mnabishana kwa hoja na si kimkatomkato na wengi sisi tunaosomea IT tunapata mengi unapoingia kwenye hii FORUM,mnapobishana kwa hoja wengine were doing practically to see if its correct kinachoongelewa
 
Tafuta Snappy Driver Installer (SamDrivers), Windows 10 iko vizuri sana, kuhusu Kaspersky ni kweli wakati inatoka mwaka jana Kaspersky mpaka ya 2015 ilikua inagoma kuinstall, ila walishafix hiyo issue kama una Kaspersky 2016 inainstall vizuri tuuu...
Nashukuru sana mr kwa ushauri wako. Nitalifanyia kazi
 
OK. Computer yetu ni Toshiba, namba zake naangalia wapi?
Fanya hivi, Bonyeza (Windows Key + R) halafu kwenye kibox cha run kitakachotokea, type "dxdiag" bila quote marks halafu bonyeza enter, utapata full model info ya computer yako.
 
Back
Top Bottom