Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,526
- 7,287
Ilinishinda mwanga ulikuwa mkali sana. Vitufe vya kuongeza mwanga na kupunguza pia vilikuwa havifanyi kazi.Mbona windows 10 ni very simple kutumia...Haina tofauti na 7
Nikapiga driver pack solution ikakataa. Ikibid niitoe niweke 8pro bit 64.
Hongera sana mkuu, nimependa ulivyooniuliza. Mwingine anakuja ana kuquote, anaandika si kweli analala mbele. Unashindwa kumwelewa alikuwa anataka nn?