Windows 10 upgrade ni bure hata kama unatumia Windows ya wizi!

Windows 10 upgrade ni bure hata kama unatumia Windows ya wizi!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Habari njema kwa wabongo, kuinstall Windows 10 ambayo inatarajaiwa kutoka katikati ya mwaka huu itakuwa ni bure bila kujali kama unatumia Windows genuine au ya kupirate/wizi!

In what may turn out to be an historic move in the battle against piracy, Microsoft's Terry Myerson has announced that the software vendor will allow all customers - whether they're running genuine Windows software or a pirated version - to upgrade toWindows 10 for free.

The move is clearly targeted at the Chinese market, where two-thirds of all PCs run pirated versions of Windows. Speaking toReuters, Myerson said:

"We are upgrading all qualified PCs, genuine and non-genuine, to Windows 10," he said in a telephone interview with Reuters. The plan is to "re-engage" with the hundreds of millions of users of Windows in China, he said, without elaboration.

By giving away Windows 10 for free, at least for the first year, Microsoft is deviating from its regular sales model for the first time. The software maker announced earlier today that Windows 10 will be launching this summer in 190 countries, with the vendor focusing its attention on China.

Source:windowscentral.com
 
Hii itakuwa habari njema zaidi kwa sababu sitohangaika kununua simu nyingi sana

nakumbuka kwenye n9 kulikua na ubiboot unainstall rom nyingi kwenye simu moja. hope watatengeneza kitu kama hicho uweze kurun android, w10, sailfish, ubuntu, tizen nk kwenye simu moja
Screen-Shot-2014-06-15-at-11.40.26.jpg
 
Habari njema kwa wabongo, kuinstall Windows 10 ambayo inatarajaiwa kutoka katikati ya mwaka huu itakuwa ni bure bila kujali kama unatumia Windows genuine au ya kupirate/wizi!
Itakua poa zaid,,,kwa sisi wapenz wa torrent
 
Back
Top Bottom