Window phone & android phone faida na hasara zake

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,743
2,000
Habari wana jf
ningependa kujua faida na hasara ya simu tajwa hapo juu katika ipengele tofauti tofauti
mfano uimara, nk
 
RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,897
2,000
Unazungumzia uimara wa OS au uimara wa simu zenye Os tajwa hapo juu..?

Maana hizo OS zote makampuni mengi ya simu yanatengenezea simu zake
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
Android -
Pros: Apps nyingi, option za kuibadili badili simu yako nyingi, option za hardware nyingi. App zina uhuru wa kufanya almost chochote hili linawezesha powerful apps ambazo ni ngumu kupatikana WP.
Cons: Battery haikai, ina tatizo la "lag" au kunata nata ukiwa aunatumia.App zina uhuru wa kufanya almost chochote hii inaleta security risk kwa kiasi fulani na instability ya system.

WP:
Pros: Battery inakaa, iko smooth, interface iko simple na clean. Hardware chache, mostly nokia. Camera bora za nokia lumia.
Cons: Hakuna apps nyingi, powerfull apps haziwezekani kutokana na OS ilivyokuwa designed. Hakuna option za kubadili muonekano sana.
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
Nadhani Android ndo kila kitu !

Japokuwa unatakiwa ku choose we mwenyewe na ku dicide which one fits you !

Mostly hate windows ! Kama wewe ni Gamer au unapenda applications tofauti tofauti !

Basi Android itakufaa !
Mana apps zinaongezeka kila siku

it's open source

na yenyewe ni more customizable ! Its use Linux Kernel !
Unaweza kuifanya utakavyo !

Na unaweza kuifanya iwe windows phone look like !

Ila ndo hivyo tena ina a bit of malware tofauti na Windows & iOS !

Na ina Laggy

Ila windows nadhani ni special kwa matumizi yakawaida sana !

Upande wa Battery perfomance ! Tunapaswa kuwasamehe wote !
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,057

wengi muna misconception huwezi kuifanya android iwe kama windows phone sababu tiles sio live tiles. kwenye android unaweka tiles tu lakini hazipo hai. kwenye windows phone tiles zake zipo hai zinaonessha information papo kwa hapo zikitokea kama ni vichwa vya habari, matokeo ya mpira, hali ya hewa, message za fb, picha za gallery nk
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,133
1,250
wengi muna misconception huwezi kuifanya android iwe kama windows phone sababu tiles sio live tiles. kwenye android unaweka tiles tu lakini hazipo hai. kwenye windows phone tiles zake zipo hai zinaonessha information papo kwa hapo zikitokea kama ni vichwa vya habari, matokeo ya mpira, hali ya hewa, message za fb, picha za gallery nk

Ndomana nikasema ni Look like chief Haiwezi kuwa completely !

Ila atleast una feel tu ule muonekano ! Japokuwa ni prank mana baadhi ya features zina miss ! Kama hizo active tiles !
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,674
2,000
uko sawa kabisa mkuu..

Nadhani Android ndo kila kitu !

Japokuwa unatakiwa ku choose we mwenyewe na ku dicide which one fits you !

Mostly hate windows ! Kama wewe ni Gamer au unapenda applications tofauti tofauti !

Basi Android itakufaa !
Mana apps zinaongezeka kila siku

it's open source

na yenyewe ni more customizable ! Its use Linux Kernel !
Unaweza kuifanya utakavyo !

Na unaweza kuifanya iwe windows phone look like !

Ila ndo hivyo tena ina a bit of malware tofauti na Windows & iOS !

Na ina Laggy

Ila windows nadhani ni special kwa matumizi yakawaida sana !

Upande wa Battery perfomance ! Tunapaswa kuwasamehe wote !
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom