Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

Album yote ya Cinderella ilikuwa ni FIRE, FIRE, FIREEEE.

Kuna goma moja humo unaweza kusikiliza tu ukashiba ukalala.

Goma linaitwa Sabrina



Alikiba ni moja ya wasanii ambao hawatumii nguvu kubwa kuandika hits.
Me kwenye hiyo album kuna dude nalikubali linaitwa BHOKE dah! Hiyo ngoma hatari sana! Mwamba kaimba sana humo
 
Chokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.

Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.
Weeee usiniambie
 
Mali yangu _hili goma ataly Sana ..
Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua,,
Hayo yote usiumize roho yako,
Pia ujumlishe na Yale Yale yale mapenz matam ya kama halua ya Allah Mali yangu yaliwa,,

Mapenzi matamu ya wawili mashallah,
Walopendana kwenye hii dunia kama adama na Hawa,,
Ila Ally mi nisijali nivumilie ntazoea,
Kwa kuniadhibu kunisaliti si hatary,,
Kidonda changu Cha moyo ni maradhii,
Zinukie isia zangu kwako Kama waridii,,
Kwa jinsi ulivyontesa staki urudi ii,
Ye molela Ali naumia,,

Ataly Sana Hilo goma,Ali kibavu alifanya mabalaa umo mungu anamuona
 
Chokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.

Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.
Bibi Ritta kampoteza sana huyo dogo, alinogewa na umarioo akasahau kazi sasa baada ya kuona new comers wanasifiwa sana akasanuka akaacha umarioo akarudi kwenye game na kukuta fame ya Domo iko juu sana, tokea hapo mpaka sasa anatimuliwa vumbi tu.
Mbaya hata fans wake wamehamia kwa Chinga boy na kuzidi kumpoteza kwenye ramani.
 
Back
Top Bottom