3..Rais wa Zanzibar anaruhusiwa kuingia ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kama nani pale ambapo rais wa Jamhuri ya Muungano anahutubia bunge.
Naomba Niulize Tvz Inaonyesha Live Siku Ya Uhuru Wa Tanganyika?
mhh,labda rais awe dikteta nduli slaa ndo anaweza kufanya hivyo.Waache wajitenge tuanze kuwatoza bili za umeme, sh. 10,000/= unapata unit 8 za siku mbili !
mkuu,leo ndo imedhihirika rasmi znz ni nchi. shein kukagua gwaride la jeshi na kupigiwa mizinga. serikali tatu oyeeeeeee. tanganyika oyeeeeeeer.
nchi ni nchi tu mbona vatikani ni heka moja lakini mwasema ni nchi.ardhi gani mnayoporwa kanchi kenyewe sijui kana sijui ekari tatu zile
Waache wajitenge tuanze kuwatoza bili za umeme, sh. 10,000/= unapata unit 8 za siku mbili !
Swali la kipuuzi,kwani kuna benki kuu,sarafu,bendera,polisi na jeshi la Tanganyika si mlijifanya kuhodhi vitu vyote kwa jina la muungano.Pengo sasa hivi hana raha kwa sababu serikali mbili ndio matakwa ya Vatikani ili waendelee kuritadisha Wazenji na kupora ardhi.

wadau!!
Ninaomba kwa mwenye mashairi ya wimbo wa taifa wa zanzibar atuwekee,niko najarib kufuatilia kwa tv lakin maneno hayasikiki!!
Udogo wa akili na elimu yenye vipand ekibao vya upotoshaji ndio shida zake...sasa US wapende na Pengo apende...Unajua tofauti ya catholics na Wamarekani...?Zenj ni ugaidi wenu ndio unatisha dunia.....minorities watapata shida kuliko Iraq,Misri,somalia etc.....
We mjinga ugaidi wa Lwakatare na Kilewo hauoni jipangeni serikali tatu hiyooooo yaja.
Nimesikitika sana kuona wimbo wa Taifa la Zanzibar wakati unapigwa leo kwenye kuadhimisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar TBC wameweka Taarabu ili tusiujue? Au wamefanya hivyo kwa Manufaa ya nani? Naomba msaada wenu
Udogo wa akili na elimu yenye vipand ekibao vya upotoshaji ndio shida zake...sasa US wapende na Pengo apende...Unajua tofauti ya catholics na Wamarekani...?Zenj ni ugaidi wenu ndio unatisha dunia.....minorities watapata shida kuliko Iraq,Misri,somalia etc.....
Sis Wazanzibar sio malimbukeni kama nyie, tumeweza vumilia zaid ya mwezi bila ya umeme na wala hajavamiwa MTU hata mmoja, na hata kama dunia nzima itasusa kutuuzia umeme basi Wazanzibar tutaweza kuexist bila ya umeme wa Tanganyika....wapeleke ukoo maporini kwao kam kweli wanajali RAIA zao...
wadau!!
Ninaomba kwa mwenye mashairi ya wimbo wa taifa wa zanzibar atuwekee,niko najarib kufuatilia kwa tv lakin maneno hayasikiki!!