balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,700
- 15,436
Wamatumbi,wandengereko,kizimkazi,wazaramo ,wazigua nk nao wanadai ni waarabu.CCM hoyeeeeeeMorocco ni waarabu.
Wamatumbi,wandengereko,kizimkazi,wazaramo ,wazigua nk nao wanadai ni waarabu.CCM hoyeeeeeeMorocco ni waarabu.
Enoch Satonga angekuwepo angewadai mlipie copy right ya huo wimbo wake. Kwa kuwa uliimbwa ndani ya mipaka ya Afrika kusini huo ni wimbo wao. Kuanza kuutumia mwaka 1994 hakufanyi huo wimbo kutokuwa wa Afrika kusini.Hiyo ndiyo falsafa ya Nyerere kuwa bila Bismark kutuwekea mipaka mwaka 1884 Afrika ilikuwa ni moja.
Kati ya nchi hizo 4 ni nani alikopi mashairi au melody ya mwenzie. Kumbuka Tanzania imepata uhuru mwaka 1961, Zambia mwaka 1964, Zimbabwe mwaka 1980 na South Africa mwaka 1994 na kuufanya wimbo wa Taifa mwaka 1997.
Enoch Sentonga alitunga wimbo wa Nkosi Sekeleli Africa mwaka 1897 kwa lugha ya Xhosa. Wakati huo South Africa ilikuwa siyo nchi moja bali territories 4; Transvaal, Cape Colony, Natal na Transvaal chini ya Waingereza na Waholanzi hadi mwaka 1910 zilipoungana na kuwa nchi moja
Ninawashangaa wanaosema tumekopi wimbo wa South Africa badala ya kusema South Africa imekopi kwa Tanzania
Umri wako miaka mingapi kwa pumba hiziAmani kwenu Members wote.
Wimbo wetu wa taifa wakati unatungwa ulizingatia zaidi masilahi ya kisiasa hasa kutokana na Msaada wetu Kwa nchi zingine ambazo zilikuwa hazijapata uhuru.
Ile sehemu tunayoimba Mungu ibariki Africa, tulizingatia zaidi kuimarisha uhusiano wetu na mataifa mengine. Na Kwa wakati ule hatukuwaza umuhimu wa matumizi mengine Kwa wimbo huo.
Kwa sasa wimbo wetu unatumika kwenye michezo, siasa nk. Kwa maoni yangu sioni kabisaa haja ya kuendelea kuacha hicho kipande cha kuibariki Africa. Mfano Jana wakati tunacheza na Morocco, tuliomba Mungu ibariki Tanzania, Lkn hapohapo tukaomba aibariki na Africa(akiwemo Morocco). Sasa Hayo maombi gani!? Yaani unaomba baraka Mungu akubariki ushinde halafu hapohapo unamuombea baraka mpinzani wako!?
Kimsingi maombi ya kuombewa na mtu mwingine yana nguvu zaidi kuliko ukijiombea mwenyewe, Ndo Maana watu wanaenda kuombewa makanisani na misikitini.. Tuache kuwaombea baraka tunaoshindana nao, wataomba wenyewe halafu Mungu Ndo ataamua kuliko sisi kuonekana tupo tayari kuwatakia baraka washindani wetu.
Najua wazee wa system wamejaa hapa jukwaani wamshauri rais tuondoe Hayo maneno ya kuwatakia baraka wenzetu. Maana hata kwenye uhalisia hatuelewani na kila nchi iliyopo Africa, sasa Kwa nn tunawabariki!?
Nawasilisha.
Mbona nimekuambia pale 1910 ndiyo Union of South Africa ambapo states zote 4 ziliungana na kuwa nchi moja? Au hukuelewa?Enoch Satonga angekuwepo angewadai mlipie copy right ya huo wimbo wake. Kwa kuwa uliimbwa ndani ya mipaka ya Afrika kusini huo ni wimbo wao. Kuanza kuutumia mwaka 1994 hakufanyi huo wimbo kutokuwa wa Afrika kusini.
Pia kumbuka South Africa haikupata uhuru mwaka 1994 labda kama hujui historia. Mwaka 1994 South Africa ilikomesha utawala wa ubaguzi wa rangi (Apartheid). South Africa ilipata uhuru miaka mingi kabla hata sisi hatutajua tutapata uhuru lini.
Hata akina Mandela walikuwa hawaiganii uhuru wa nchi bali uhuru wa mwa mwafrika mweusi ndani ya nchi huru ya South Africa, kama yanayoendelea huko Israel kati ya Wayahudi na Wapalestina.
TUKUBALI UKWELI TU KWAMBA BADO TUNA MAWAZO YA KIJAMAA SANA NDIO MAANA HATA MAMBO MENGINE HAPA NCHINI YANAJIENDEA HOVYO HOVYO TU.