Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa.

NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA SASA)
 
Keyboard Warrior ROMA, mzee wa mikwara mtandaoni juzi yameitishwa maandamano marekani ila hajatokea ubalozini, yeye kazi yake ni mikwara mtandaoni tu
 
BASATA hawajamuita tu na kuufungia wimbo ?

Maana watu washakuwa kama vichaaa
 
Ni yule yule msanii mwana harakati kaja na kibao kikali cha ukombozi kikienda kwa jina la Teremsha Bunduki.

Nisiongee sana kasikilize mwenyewe

 
Back
Top Bottom