Wimbo wa DESPACITO ulipataje hawa viewers zaidi ya Billioni 5?

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Messages
1,274
Points
2,000

BRN

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2013
1,274 2,000
Naona watu wanachanganya views na viewers. Wimbo unaweza ukawa na viewers 100 lkn ikapata views 100,000. YouTube wanadisplay views. Rejea interview ya Ommy Dimpoz alipokuwa anaponda mambo ya Views za YouTube!
Alisema haimake sense kuwa na viewers wachache lkn views nyingi.
Mkuu uko sahihi..
 

dapangi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
416
Points
250

dapangi

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
416 250
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.


Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube n.k wimbo huu umetazamwa mara bilioni 5.7+.

Turejee hapa.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi duniani inakadiliwa kuna wanadamu wanaoishi wapatao bilion 7+ ikiwemo watoto n.k.

Pia kwa mujibu wa taarifa mbali mbali inakadiliwa kua kati ya mwaka 2015_2020 dunia nzima itakua na watumia simu wapatao 5.4bilioni.

Pia kwa mujibu wa taarifa za mwaka 2018 dunia nzima inakadiliwa kua watu wapatao 134.1milioni wanaotumia laptops,tablets n.k.


Wakati huo takwimu zinaonesha watu 4,208,571,287 ndio wanatumia internet duniani.huku bara la ASIA wakiongoza kutumia internet kwa 44.8%,ulaya 16.8%,Africa 15.6%,latin america 10.4%,mashariki ya mbali 3.9% na zilizobaki mabara mengine.

Kwenye hili kundi la watumia internet 4.2bilioni kuna ambao hawana taarifa na wimbo huu,pia kuna wale hawana hobbie na mziki.


Pia katika jumla yote ya wanadamu hawa wapatao bilioni 8 wanaoishi katika sayari hii mpaka sasa robo yote ni watoto,huku lipo kundi la wasio jua kusoma na kuandika,pia kwenye kundi la watWu wanaotumia simu wapatao 5bilioni kuna wengi wasio na smartphone.

Swali langu huu wimbo hawa views 5.7bilioni ulipataje?

Kwa watalaamu wa mambo haya naomba mnisaidie nami.

Nawasilisha.
Wewe mwenyewe ukiangalia mara tano unahesabiwa kuwa 5 viewers. Kwa hiyo usipate shida sana.
 

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
6,735
Points
2,000

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
6,735 2,000
iTunes,Amazon music,Spotify,Youtube
nadhani tatizo ni kua wewe ni mvivu wa kufikiri..... hizo views ni kutoka ktk hizo sites zote combined which means mtu mmoja anaweza kuangalia hiyo video katika hizo sehemu 5 kwa muda tofauti na zikahesabiwa kama views 5 sawa we mzee!
 

Himawari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
2,407
Points
2,000

Himawari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
2,407 2,000
Si te pido un beso, ven, dámelo
Yo sé que estás pensándolo
Llevo tiempo intentándolo
Mami, esto es dando y dándolo
Sabes que tu corazón conmigo te hace "bam-bam"
Sabes que esa beba está buscando de mi "bam-bam"
Ven, prueba de mi boca para ver cómo te sabe
Quiero, quiero, quiero ver cuánto amor a ti te cabe
Yo no tengo prisa, yo me quiero dar el viaje
Empezamos lento, después salvaje
Pasito a pasito, suave, suavecito
Nos vamos pegando poquito a poquito
Cuando tú me besas con esa destreza
Veo que eres malicia con delicadeza
Pasito a pasito, suave, suavecito
Nos vamos pegando poquito a poquito
Y es que esa belleza es un rompecabezas
Pero pa' montarlo, aquí tengo la pieza, oye
Tafsiri mkuu kwa kilugha chetu (kiswahili) niambulie japo maana...
 

Nellyseven

Member
Joined
Nov 24, 2018
Messages
78
Points
125

Nellyseven

Member
Joined Nov 24, 2018
78 125
youtube inahesabu views kila unapoiangalia hiyo video
tu assume umeiangalia hiyo video zaidi ya mara 100,then views 100 kwenye ili video itakuwa ni wewe.
pia kumbuka huu wimbo ni popular na umetrend dunia nzima
so kila mtu atataka kuona bila kusahau wale tunaoangalia na kureplay kila saa...
Acha kudanganya watu mkuu.. Usioongee kitu usichokijua. Aliyekuambia Youtube ina count viewer hivyo n nani?
 

Forum statistics

Threads 1,343,278
Members 515,004
Posts 32,778,752
Top