Wimbo wa CHADEMA kuhusu miaka 50 ya uhuru

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? Nahisi sielewi maana ya kodi...

inaendeshwa kwa kodi za wananchi, kwani wana mamilioni kama sio bilion kadhaa japo sijui idadi yake kila mwezi kutokana na uwakilishi wao bungeni na halimashauri za miji, wilaya na majiji.

jibu japo hoja moja mambo ya uharo hayasaidii! na sidhani CDM ipo interested na uharo wa mtu yeyote! CDM kuna watu wenye akili kutarajia uharo badaala ya ushindi!! wake up!

wewe utakuwa ndo walewale magamba ambao mnaamini treni ya umeme bongo haiwezekani..ELEWA, hakuna anaepinga maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, kinachozungumzwa hapa ni kwamba UKWELI usemwe ..na ukweli ni huu Serikali ya SISIEMU imechemsha na inaaibisha mno, miaka 50 si sawa kuitwa taifa changa, ukikubali utakuwa mnafiki au una matatizo makubwa akilini.! Fikiria kama wewe hivyo ulivyo unavishwa nepi, utaweza kutembea barabarani?? Inabidi Ccm mpate muda wa kujifunza kwa chadema..komeni kuiba kura kwenye chaguzi

Hao mnao wataja hawajanunuliwa bado na waishie kukataa ? Sugu anaweza kuimba pia maana Ubunge ni kazi na Sanaa yake ndiyo hasa iliyo mfikisha hapo alipo .Je anasemaje ?

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...

Mkuu, don't make it complex! My idea was on the "pesa ya ruzuku" ambayo kila chama kinapata mgawo kutokana na wingi wa wabunge. Hizo hela ni kodi za wananchi au mi ndo nakosea wamwise, otherwise kama kuna sources zingine za kujiendesha, well I don't need to know about it for now.

inaendeshwa kwa kodi za wananchi, kwani wana mamilioni kama sio bilion kadhaa japo sijui idadi yake kila mwezi kutokana na uwakilishi wao bungeni na halimashauri za miji, wilaya na majiji.

Ahsante mkuu, hii thread nilipita kumbe kuna mtu alikuwa kanibana na maswali kila akirudia kusoma anaona nimechafua hali ya hewa!! Hehehehehe!

Wana cdm tuna majembe mawili sugu anaweza kwani tulishuhudia antvirus ilivyokua kazi nzuri lakini pia tunaye roma mkatoliki jamani na ameapa kutorudisha kadi ya chama kama nakaya sumary kwahiyo naunga mkono hoja na haya majembe mawili yanatosha kabisa kumaliza hiyo shughuli

Back
Top Bottom