Wimbo wa CHADEMA kuhusu miaka 50 ya uhuru

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...
Mimi nadhani CDM kama taasisi inayojiendesha kwa kodi zetu wananchi, watangaze shindano la kutunga nyimbo na vitu vingine kwa ajili ya sherehe za miaka 50, wazijumuishe shule za misingi, sekondari na vyuo na baadae kuwepo na tamasha la wilaya, mkoa, kanda hadi kitaifa. Hilo litasaidia mengi, sitaki kumwaga mchele wote hapa.

Ila najua serikali wataanza oooooh, siasa mashuleni hazitakiwi. Mara sijui, lakini cha msingi ni kutafuta namna nzuri ya kurudisha kodi kwa wananchi na siyo kuwahonga wakati wa kampeni.

Hiyo kazi apewe Roma Mkatoliki. Wapenzi wa CDM wajitokeze kudhamini hiyo mambo.

Honestly speaking,maendeleo yapo lkn mabaya yapo pia tena mengi ya kumwaga,xo ili iwe fair kwa wote,...then i suggest utungwe wimbo utakao-consist mema na mabaya then watz waone,yap yamezd...ha2na shida ya kuwatafunia big-g wameze...watz wanatakiwa wa-wake up...hw many tymz wameambiwa juu ya mabaya ya serikali ya ccm?do they listen?do they care at ol?mayb they easily 4get,i dnt knw atleast nw wameanza kuamka....ukomboz wa kifikra unahitajika ili chama cha upnzan kishike hatamu na kuiongoza tz,....i dnt knw hw can i classify watz,wanahitaji kukombolewa in ol aspects of their lives ili waujue ukweli na wawe huru...huu ni mwanzo tu tym wil tel.....nawasilisha

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...
Mimi nadhani CDM kama taasisi inayojiendesha kwa kodi zetu wananchi, watangaze shindano la kutunga nyimbo na vitu vingine kwa ajili ya sherehe za miaka 50, wazijumuishe shule za misingi, sekondari na vyuo na baadae kuwepo na tamasha la wilaya, mkoa, kanda hadi kitaifa. Hilo litasaidia mengi, sitaki kumwaga mchele wote hapa.

Ila najua serikali wataanza oooooh, siasa mashuleni hazitakiwi. Mara sijui, lakini cha msingi ni kutafuta namna nzuri ya kurudisha kodi kwa wananchi na siyo kuwahonga wakati wa kampeni.

Hili wazo ni bomba ,nashauri lifanyike mapema na isiwe ni propaganda kama za chama cha kijani
naunga mkono hoja miakwa mia

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...
Mimi nadhani CDM kama taasisi inayojiendesha kwa kodi zetu wananchi, watangaze shindano la kutunga nyimbo na vitu vingine kwa ajili ya sherehe za miaka 50, wazijumuishe shule za misingi, sekondari na vyuo na baadae kuwepo na tamasha la wilaya, mkoa, kanda hadi kitaifa. Hilo litasaidia mengi, sitaki kumwaga mchele wote hapa.

Ila najua serikali wataanza oooooh, siasa mashuleni hazitakiwi. Mara sijui, lakini cha msingi ni kutafuta namna nzuri ya kurudisha kodi kwa wananchi na siyo kuwahonga wakati wa kampeni.

Hili ni wazo tu. Kwa kuwa serikali ya CCM imetumia wasanii kadha wa kadha kuimba nyimbo za kuipamba na kuisifu serikali ya ccm kwa maendeleo makubwa imeyoleta tokea uhuru (propaganda), angalia Tbc1 kuanzia saa moja jioni na kuendelea utajionea mwdnyewe.

Kwa hiyo nashauri wasanii wanamuziki ambao ni pro-CHADEMA na wenye uchungu wa kweli na nchi yetu watufyatulie single moja inayohusu miaka 50 ya uhuru na kuelezea hali halisi ilivyo na machungu yanayowasotesha watanzania kila uchao kutokana na uzembe wa serikali inayoongozwa na CCM...

Naomba tuwaorodheshe hapa chini halafu tuwa notify kuhusu hii project sio tukae tu kimya huku tukishuhudia sisiemu ikipotosha bure umma wa watanzania, endelezeni sasa..

Hivi wewe ni msemaji wa CDM? una uhakika CDM hawajui au kutambua Miaka 50 ya Uhuru? Una Uhakika hawatakuwapo kwenye jukwaa la wageni waalikwa siku ya Sherehe! halafu jaribu kufahamu kwamba History is History bad or good, ndio maana hata USA leo wanaadhimisha miaka kumi tangu shambulio la 9/11, sii suala zuri lakini limeingia kwenye hitoria ya Marekani, lilikuwa jambo la aibu kwao kupigwa nyumbani na wakalipokea kama taifa hapa kwetu kwa kuwa wewe ni CDM basi kila linaliihusu CCM kwako ni baya! Miaka 50 ya Uhuru itasherehekewa kama ilivyo pangwa. kumbuka pamoja na kwamba unaiona mingi kuna nchi humu humu africa inaitwa Mali ambako biashara ya dhahabu ilikuwa kubwa sana karne nyingi zilizopita (enzi ya Mansa kankan Mussa) ila ukiitazama leo bado wanaishi kwenye tembe! so lets celebtrate Uhuru wetu with all what you dont like but its our History! JK Nyerere, baba wa taifa aliitambua siku hiyo, kama siku ya Uhuru wa tanzania, wewe nani usiitambue? kama wewe ni msemaji wa CDM, basi ikichukua madaraka andikeni historia yenu mnavyotaka, ila trust me ikiisha andikwa, imeandikwa!!! remmember Mungu kampa mwanadamu uwezo wa kuchagua marafiki tu, hajampa uwezo wa kuchagua majirani!! CCM ni kama jirani yenu hivyo CDM jifunzeni kuishi nayo, na CCM ijifunze na kuzoea kuishi na wapinzani including CDM. CDM muache kutumia sere za Taliban, Alshaaabab au hata Al qaeda! kuona nyinyi tu ndio wasafi wengine ni makafir!!!!!

Honestly speaking,maendeleo yapo lkn mabaya yapo pia tena mengi ya kumwaga,xo ili iwe fair kwa wote,...then i suggest utungwe wimbo utakao-consist mema na mabaya then watz waone,yap yamezd...ha2na shida ya kuwatafunia big-g wameze...watz wanatakiwa wa-wake up...hw many tymz wameambiwa juu ya mabaya ya serikali ya ccm?do they listen?do they care at ol?mayb they easily 4get,i dnt knw atleast nw wameanza kuamka....ukomboz wa kifikra unahitajika ili chama cha upnzan kishike hatamu na kuiongoza tz,....i dnt knw hw can i classify watz,wanahitaji kukombolewa in ol aspects of their lives ili waujue ukweli na wawe huru...huu ni mwanzo tu tym wil tel.....nawasilisha

hakuna nchi duniani yenye mambo mazuri tu! only Ahera na ili ufike huko zingatia dini yako ili ukifa uende! hapa duniani si rahisi!!

chadema inajiendesha kwa kodi za wananchi? nahisi sielewi maana ya kodi...
Mimi nadhani CDM kama taasisi inayojiendesha kwa kodi zetu wananchi, watangaze shindano la kutunga nyimbo na vitu vingine kwa ajili ya sherehe za miaka 50, wazijumuishe shule za misingi, sekondari na vyuo na baadae kuwepo na tamasha la wilaya, mkoa, kanda hadi kitaifa. Hilo litasaidia mengi, sitaki kumwaga mchele wote hapa.

Ila najua serikali wataanza oooooh, siasa mashuleni hazitakiwi. Mara sijui, lakini cha msingi ni kutafuta namna nzuri ya kurudisha kodi kwa wananchi na siyo kuwahonga wakati wa kampeni.

Hivi wewe ni msemaji wa CDM? una uhakika CDM hawajui au kutambua Miaka 50 ya Uhuru? Una Uhakika hawatakuwapo kwenye jukwaa la wageni waalikwa siku ya Sherehe! halafu jaribu kufahamu kwamba History is History bad or good, ndio maana hata USA leo wanaadhimisha miaka kumi tangu shambulio la 9/11, sii suala zuri lakini limeingia kwenye hitoria ya Marekani, lilikuwa jambo la aibu kwao kupigwa nyumbani na wakalipokea kama taifa hapa kwetu kwa kuwa wewe ni CDM basi kila linaliihusu CCM kwako ni baya! Miaka 50 ya Uhuru itasherehekewa kama ilivyo pangwa. kumbuka pamoja na kwamba unaiona mingi kuna nchi humu humu africa inaitwa Mali ambako biashara ya dhahabu ilikuwa kubwa sana karne nyingi zilizopita (enzi ya Mansa kankan Mussa) ila ukiitazama leo bado wanaishi kwenye tembe! so lets celebtrate Uhuru wetu with all what you dont like but its our History! JK Nyerere, baba wa taifa aliitambua siku hiyo, kama siku ya Uhuru wa tanzania, wewe nani usiitambue? kama wewe ni msemaji wa CDM, basi ikichukua madaraka andikeni historia yenu mnavyotaka, ila trust me ikiisha andikwa, imeandikwa!!! remmember Mungu kampa mwanadamu uwezo wa kuchagua marafiki tu, hajampa uwezo wa kuchagua majirani!! CCM ni kama jirani yenu hivyo CDM jifunzeni kuishi nayo, na CCM ijifunze na kuzoea kuishi na wapinzani including CDM. CDM muache kutumia sere za Taliban, Alshaaabab au hata Al qaeda! kuona nyinyi tu ndio wasafi wengine ni makafir!!!!!

Umetumwa wewe.! Na safari hii Matumbo yatawauma hadi mtoe uharo.!

jibu japo hoja moja mambo ya uharo hayasaidii! na sidhani CDM ipo interested na uharo wa mtu yeyote! CDM kuna watu wenye akili kutarajia uharo badaala ya ushindi!! wake up!

Hivi wewe ni msemaji wa CDM? una uhakika CDM hawajui au kutambua Miaka 50 ya Uhuru? Una Uhakika hawatakuwapo kwenye jukwaa la wageni waalikwa siku ya Sherehe! halafu jaribu kufahamu kwamba History is History bad or good, ndio maana hata USA leo wanaadhimisha miaka kumi tangu shambulio la 9/11, sii suala zuri lakini limeingia kwenye hitoria ya Marekani, lilikuwa jambo la aibu kwao kupigwa nyumbani na wakalipokea kama taifa hapa kwetu kwa kuwa wewe ni CDM basi kila linaliihusu CCM kwako ni baya! Miaka 50 ya Uhuru itasherehekewa kama ilivyo pangwa. kumbuka pamoja na kwamba unaiona mingi kuna nchi humu humu africa inaitwa Mali ambako biashara ya dhahabu ilikuwa kubwa sana karne nyingi zilizopita (enzi ya Mansa kankan Mussa) ila ukiitazama leo bado wanaishi kwenye tembe! so lets celebtrate Uhuru wetu with all what you dont like but its our History! JK Nyerere, baba wa taifa aliitambua siku hiyo, kama siku ya Uhuru wa tanzania, wewe nani usiitambue? kama wewe ni msemaji wa CDM, basi ikichukua madaraka andikeni historia yenu mnavyotaka, ila trust me ikiisha andikwa, imeandikwa!!! remmember Mungu kampa mwanadamu uwezo wa kuchagua marafiki tu, hajampa uwezo wa kuchagua majirani!! CCM ni kama jirani yenu hivyo CDM jifunzeni kuishi nayo, na CCM ijifunze na kuzoea kuishi na wapinzani including CDM. CDM muache kutumia sere za Taliban, Alshaaabab au hata Al qaeda! kuona nyinyi tu ndio wasafi wengine ni makafir!!!!!

kwa hiyo unataka kusema mwenzio akilala chin ya mti kwa kuwa hana raslimali zinazomuwesha kuwa na kipato cha kujenga nyumba wewe pia utamuiga hata kama una raslimali ambazo zinaweza kukutoa kwenye lindi la umaskini? Acha kutumiwa....! Mbona wewe unahangaikia maisha yako? Kwanini usikae tu ukaridhika kwa kuwa wapo watu wengi wenye maisha duni kuliko wewe? Jiangalie sana bibie!

hili ni wazo tu. Kwa kuwa serikali ya ccm imetumia wasanii kadha wa kadha kuimba nyimbo za kuipamba na kuisifu serikali ya ccm kwa maendeleo makubwa imeyoleta tokea uhuru (propaganda), angalia tbc1 kuanzia saa moja jioni na kuendelea utajionea mwdnyewe.

Kwa hiyo nashauri wasanii wanamuziki ambao ni pro-chadema na wenye uchungu wa kweli na nchi yetu watufyatulie single moja inayohusu miaka 50 ya uhuru na kuelezea hali halisi ilivyo na machungu yanayowasotesha watanzania kila uchao kutokana na uzembe wa serikali inayoongozwa na ccm...

Naomba tuwaorodheshe hapa chini halafu tuwa notify kuhusu hii project sio tukae tu kimya huku tukishuhudia sisiemu ikipotosha bure umma wa watanzania, endelezeni sasa..

wazo zuri, gooD job

sidhani kama ataaewza, kwani yeye hauchukii ufisadi bali katika nyimbo zake amekuwa akiitahadharisha mafisadi wale kwa kutumia akili. Anawakumbusha wawe wajanja katika kuiba. Siku zote yeye kumkumbusha mjomba, umewahi kumsikia akimponda? Nadahni ana return zake, ndo maana hawakemei, bali anawakumbusha kuiba kwa akili. Simpendi kabisaaa.

Mie nampendekeza roma, ndiye mwanaharakati anayeuchukia ufisadi wa nchi hii kwa vitendo na wajamaa wa arusha kidogo

Back
Top Bottom