Mi nawashangaa sana wasanii, hakukua na haja ya ROMA kuweka maneno ya kubinya mapumb* kwenye huu wimbo! ni matamshi ya kijinga ambayo yanakupunguzieni credit tu na mtu mzima hawezi sikiliza wimbo wenye upuuzi ka huo! Yani Diamond and the like wataendelea shine coz hawaweki maneno ya kipuuzi yasiyofaa tamka kwa public ovyo ovyo kama alivofanya ROMA.. ROMA is losing...please edit ur song and omba msamaha kwa mashabiki wak
haha poor thinking!basi mwekee bit na godwin gondwe na salumu mkambala nao watoke!
huwezi elewa hiphop kama hujui mziki na hupendi kuumiza kichwa chako kufikiri,kwa jinsi nilivyofuatilia comment za watu hapa nimeona wengi ni chuki binafsi tu kumponda roma yaani bongo kila msanii hakosi maadui ukija kwa diamond wanamponda sijui nyumba yake hamalizi kujenga ukija kwa huyu roma anaefanya mziki wa tofauti kabisa nae unasikia wanasema eti kafulia hawezi toka tena huyo kaamua kufanya rap siasa so usitegemee wala yeye hategemei kupata show za nje coz anazungumzia siasa za bongo,kiukweli namuelewa sana roma na hii kkk ni bonge moja la pini hasa verse ya pili ndo kaua mbaya na yule jamaa aliyemshirikisha nicozola naye kamaliza kila kitu.
ila mbona yy pia muislamu! Sema anajaribu kuonyesha ukwel kwa kla anachokiimba...ukifatilia hata R.O.M.A kama jina lake ni vifupisho vya majina ya ndugu zake ambao ni waislam kuna OMARY,MAIMUNA n.k
na wewe kusanya matukio uende ukarekodi!
Tatizo la mitz ni kujua kila kitu,fanya wewe kama unaweza
MI SIMKUBALI ROMA KWA SABABU ANAKATABIA KAKUKOSOA WAKRISTO NA VIONGOZI WAO HUKU YEYE AKIWA SI MKRISTO
MBAYA ZAIDI ANAJIITA roma MKATOLIKI, so he is fake!! kwanini asivae nafsi yake?? kwa nini atoke kwa mgongo wa watu wengine??
huu uzi unaendelea?!..kweli roma anawatia stress raia!wazee wa mixtape,wazee wa kilinge daily wanatoa ngoma wanasikiliza wao na washkaji wao na kulazimisha raia wanunue ila mkali roma kadondosha msiba mitandao na redio zote kaacha gumzo!!!!......roma ni msanii pekee wa hip hop ambaye unaweza ukaacha afunge show na raia wakabaki kumsubiri!..........washkaji zenu wa kilingeni wataendelea kuwa wafungua show yaani utangulizi au kuimba msasani club kuwaimbia wasanii wenzao!....askari wangu roma alichokosa yeye ni muonekano na kutupia pamba zikamkaa ila katika kinasa huyu mtu ni zaidi ya msiba!muulizeni kaka yenu fid q,au nassib abdul!kama hao wako mbali basi muulizeni izzo b aibu aliyoipata dar live alipothubutu kutaka kutunishiana misuli na roma kwenye mic akidhani mic ni kuvaa masweta kwenye joto au kuvaa miwani stejini
kwani me msanii? Ila nakubali kukosolewa kwenye proffessional yangu nikajirekebisha so nayeye aache kutuimbia taarifa za habari hata akina prof j wananyimbo nzur za kujifunza.
Sikujua kama ROMA NI MJINGA KUFIKIA KUWEKA MATUSI KWENYE WIMBO.
HANA JIPYA KILA LEO MALODY HILE HILE.
HIVI ROMA HANA MELODY NYINGINE? KINACHO NI KERA ZAIDI NI KITENDO CHAKE CHA KUPIGA KELELE HATA PASIPO HITAJIKA.
weka singo yako tuone,usijifanye unajua!acha uboya
flow wewe kaka tuone,mitz mipumbav sana
Kama unashabikia Ujinga,na unaonywa Hutaki Unajidai
Kiburi!
Utaitwa tu Mjinga!
Ndio,
Nami nasema uitwe tu,maana hakuna jinsi.
Uitwe tu!
Kiboko
Labda nirudi darasani kukufunza wanaume wanavyojibu ishuz......roma ni mchovu,alibahatisha akapata jina,,,watu wakamwamini but anazidi kuwadisapoint ,,,,sasa ameshindwa kumaintain..mlichosubiri hamjakipata sasa mmebaki kumuonea huruma....mnaona kama sie tulioamua kusema ukweli kama vile tunamkwamisha ingawa ukweli mnauona...hajateleza ndio anapotea kama bado hamuamini.......subiri upepo wa 'singo mpya' upite ndio utanielewa
MI SIMKUBALI ROMA KWA SABABU ANAKATABIA KAKUKOSOA WAKRISTO NA VIONGOZI WAO HUKU YEYE AKIWA SI MKRISTO
MBAYA ZAIDI ANAJIITA roma MKATOLIKI, so he is fake!! kwanini asivae nafsi yake?? kwa nini atoke kwa mgongo wa watu wengine??
mkuu mbona huja zungumzia hoja hata moja ambayo tunaisema hapa?
Ni kweli Roma ana melody moja?
Ni kweli Roma hawezi kuimba mpaka apige kelele?
Ni kweli Roma alikosa cha kuandika mpaka akaweka matusi?
Tatizo watu hawataki kusikia ukweli hta kama una wauma.mkuu Dullysyks, mie sio msanii,so siwezi toa singo...mie ni shabiki tu kama nyinyi......ila kama kuusema ukweli ambao hautaki kuusikia eti kisa unamzimia sana roma ninakuwa boya basi wacha niwe ivyo.