Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

political religious hip hop
 

achana na mamburula hayo,utaumiza kichwa mkuu!
Eti roma unamfananisha na kuchkuch young killer dah!
 

haha poor thinking!basi mwekee bit na Godwin Gondwe na Salumu Mkambala nao watoke!
 
Kama wewe ni mpenzi wa bit na sauti laini, utachelewa sana kumwelewa Roma.

Wachungaji wanalumbana wakigombania waumini/ wanalala wakiamuaka wanaanzisha dini...............

hawaogopi damu ya msalaba/Bible wanaifanya biashara/wewe sio Yesu hata kama baba yako Seremala.

wewe ni nani usiyekosea kila unaemwombea anapona, hatutaki shuhuda za uongo aminini nyote mtachomwa.
 
Ndugu upeo wako bado mchanga sana,habari ya R.O.M.A. Achana nayo,imekuzidi sana uelewa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

hili unamwambia nani?
 


''machozi,jasho na damu''.......prof.Jay........''Hukumu ya ndotoni''.......Rado....''
nyimbo nyingi za Sollo Thang''.kuacha zile za mahaba!Hip Hop inapaswa kuishi zaidi ya matukio ya wakati mmoja......ni kazi ya sanaa na haipaswi kupotea na kumbu kumbu za tukio fulani.
Roma hanivutii na hajawahi kunivutia kabisa na nyimbo zake za stori za gazeti la -----------!
 
wengi wanao comment hapa kwamba r.o.m.a hajui ni malimbukeni kwenye hip hop. washazoea mipasho na mapenzi basi hizi flow hawazielewi.

kwanza elewa kazi kuu ya fasihi ni kuelimisha na kuburudisha.

sasa wewe kama r.o.ma hakuelimishi wala.hakuburudishi, sepa. badirisha radio station ikipigwa wimbo yake, zima tv tuki dedicate pini.lake, usiende kwenye show zake. blood shit.

jitu linatoka.mipovu kumsema r.o.m.a wakati ata show halijawah kuingia, kazi kudownload nyimbo hulkshare na kuburn cd tuu. huna mchango wowote katika hii industry, backoff bro. nenda kwenye show za wcb na huyo hod wenu.

hafu mingine inamfananisha na young killer, stamina. wapuuzi hao mnawapambanisha na huyu? kweli tupo na vichwa vya wenda wazimu humu.

hiphop is concesous, sio sharobaro kubeba nondo,
mi natafuta pesa ya kula, we unamcheki tu alejandro,
unadhani utaandika nini kama sio adithi za kamongo...

mtaelewa tu.
 

Wewe hasa ndio unaelewa mziki vyema...tuko pa1 mbaba.
 

Stamina sio EMCEE!!ni rapper ambae anaaminishwa kuwa mkali kwa mistari yake kuunga unga tu!
Kama Roma angeweza kuandika kwa uyakinifu hii hii siasa katika namna ambayo Fid anaweza kuandika.....na akawa na flow nzuri sikioni angeweza kuwa msanii mkali!

''haijalishi uzuri wa sanaa yako..........namna yako ya uwasilishaji ndio huiongezea thamani zaidi kazi yako ya sanaa''...............R.I.P mwalimu wangu,mkali wa ukweli wa sanaa usietambulika....Malembeka!
 
Mnataka AIMBE NGOLOLO?

unamdis wakati hujawahi hata kununua wimbo wake.

Kama show za nje hapati,hao Tamaduni au weusi mbona hawapati pia?

R.O.M.A ANAFANYA MZIKI KWA AJILI YENU,NYI MNALETA SHINGO UPANDE,BASI CHANGANYENI TAK.O ILI MAVI YASIGANDE.
 
Huyo anayeropoka anawafunika your favouritea EMCEE Kuanzia Maisha club hadi CCM Kirumba.
R.O.M.A ANATUWAKILISHA SISI NDO MAANA ANA MAJESHI TOKA MASAKI HADI MBAGALA CHARAMBE!!
HUMTAKI R.O.M.A KAMSIKILIZE Neema wa Mitego,Mr.NICE.DUDU BAYA NA KIMBUNGA!
 
achana na uyo dogo,,,eti roma anapigania haki,anapigania haki ipi? Au haki ya nani? Ebu wawe specific.
hujui roma anaimba nini hata ujumbe hauupati? Haya endelea kuwasikilza mateja wenu wa kinondoni.
 
Roma baba yao mkubali mkatae wabongo wengi wanafiki,hapa sasa hivi watu wanajifanya kusema fid mkali mara sijui prof wakija kwenye kuwapigia kura hawapigi wanawaacha wafe na tai shingoni alafu tunasema tunawapenda shame on us hata cd za album wala mixtpae zao hatununui mnaodai mnawapenda hao wasanii wengine zaidi ya roma basi muwasuport by the way kama unajua mziki huwezi kumkataa roma hata kidogo.
 
MI SIMKUBALI ROMA KWA SABABU ANAKATABIA KAKUKOSOA WAKRISTO NA VIONGOZI WAO HUKU YEYE AKIWA SI MKRISTO
MBAYA ZAIDI ANAJIITA roma MKATOLIKI, so he is fake!! kwanini asivae nafsi yake?? kwa nini atoke kwa mgongo wa watu wengine??
 
Mi nawashangaa sana wasanii, hakukua na haja ya ROMA kuweka maneno ya kubinya mapumb* kwenye huu wimbo! ni matamshi ya kijinga ambayo yanakupunguzieni credit tu na mtu mzima hawezi sikiliza wimbo wenye upuuzi ka huo! Yani Diamond and the like wataendelea shine coz hawaweki maneno ya kipuuzi yasiyofaa tamka kwa public ovyo ovyo kama alivofanya ROMA.. ROMA is losing...please edit ur song and omba msamaha kwa mashabiki wak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…