Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,909
- 12,253
Anjella kutoka konde gang ameachia wimbo mpya, hakika amebarikiwa kipaji na sauti nzuri sana
Tatizo umekalilihahahah hii wadanganye Waha wenzako.
Tatizi lebo hatapata promo ya maanaameimba vizuri sana na muandaaji ameandaa wimbo vizuri, lyrics ipo poa sana na sauti ya dada ipo vizuri kama kawaida.
Utopolo kweli unajua kujifariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Angela kapiga bonge la kitu,yaani goma limebamba mpaka huku lumage na ubiruko.
Hamna kitu anatapatapa mwisho atakufa majiNimeusikiliza ni mzuri...
Siyo lazima tuwacompare hawa mabinti, ila hata hivyo kumshindanisha na zuchu ni big step kwa anjella.
Anajitahidi kwakweli. Kufanana majina kawaida nyimbo kufanana majina.
UMEUA KILA KITU.Ni lebo ya mchungaji mzimbabwe anayeishi marekani ambae anamfadhili jahprazah na ameweka nusu ya uwekezaji ambapo imeanzishwa kwa mgongo wa rayvany lakini vanyboy ni msimamizi tu pale na mgao unakwenda wcb na kwa huyo paster mzimbabwe
🚮🚮🚮🚮Apambane...
Kazi anayo.
Asije imba kizungu tena. Anaiga ujingaujinga....wa bosi wake.