Wimbo mpya wa Anjella-Nobody

Wimbo mpya wa Anjella-Nobody

Habarini JF.

Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana.

Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB.

Kiukweli huu Ni ukweli mchungu Sana Ila yote haya kayataka mmakonde underground [emoji23][emoji23][emoji23]

Na kwa stahili hii acha WCB waendeleee kurun game ya bongo flavour.

WCB na NLM ndio LABEL kubwa EAST AFRICA.
Zamani chawa walikua wanaolewa haijalishi una jinsia gani
 
Habarini JF.

Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana.

Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB.

Kiukweli huu Ni ukweli mchungu Sana Ila yote haya kayataka mmakonde underground [emoji23][emoji23][emoji23]

Na kwa stahili hii acha WCB waendeleee kurun game ya bongo flavour.

WCB na NLM ndio LABEL kubwa EAST AFRICA.
Sasa Wcb wameingiaje humu? 😀😀😀 Nlm ndio Lebo gani hiyo?😂😂😂
 
Mkuu kwa uzi huu ndio unaupa promo..au ulilenga kufanya hivyo kimtindo.
 
Anjella kutoka konde gang ameachia wimbo mpya, hakika amebarikiwa kipaji na sauti nzuri sana

Wimbo NOBODY ni mzuri mno mno...nashangaa mtoa mada ana maoni hasi, sijui bibie Anjella kamnyim1a nini maskini
 
Habarini JF.

Kwa kitendo hivhi kinachoondelea kiukweli hakuna pale msanii yaani WIMBO mbovu saana Tena saana.

Tatizo anamuiga sana ZUCHU na manajiment Yake kiujumla bado inawawaza sana WCB.

Kiukweli huu Ni ukweli mchungu Sana Ila yote haya kayataka mmakonde underground [emoji23][emoji23][emoji23]

Na kwa stahili hii acha WCB waendeleee kurun game ya bongo flavour.

WCB na NLM ndio LABEL kubwa EAST AFRICA.

Wanakulipa kias gan mzee?
 
Back
Top Bottom