Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Dogo habadiliki kabsa...anakuja na melody zilezile ambazo sasa watu wanakaribia kumchoka.....huo I Miss You aloutoa km official ni wa kawaid kushnda ule ulovujaga......labd vdeo itauboost
Huo wa Fire sasa ndo penye majanga.....kwanz beat ime be sampled kutoka nymbo kadhaa zikiwemo Eminado wa Tiwa Savage mwenyew, Coco baby wa Waje n.k......nadhan bwana mdg Lizer naye bdo hajakidhi viwango vya kumtengenezea mond beat za hadhi yake.....
Ukiangalia nyimbo za mwsho kutoa Mond ukianza na Kidogo ft P Square, Marry You ft Neyo na hizi 2 za leo unaona kabsa graph yake inashuka.....sio kwamb nymbo hazina viwango ...HAPANA... but no newness in his contents......
Tukija kwa hasimu wake mkubwa Kiba......kdg graph yake inapanda....nymbo km Chekecha,Lupela na Aje angalau zina content yenye kiwango....

Baad ya ramadhan hasimu wake huyu nae anatoa ngoma......lets wait and watch this game....
 
Wadau ipeni time hii nyimbo kwenye masikio yenu msikurupuke nyimbo tamu hiii fireeeeee
 
duh mbona zote 2 zimekuwa za kawaida sana, au ndiyo mpaka zikolee masikioni?
 
Anarudi nyuma huyu jamaa..!! Nyimbo hii haipendezi maskioni
17273018837085578483
 
Nikisoma comment ndio zile zile zinafanana na ilipotoka ngoma yake na psquare!
Ila baada ya muda wote humu mashahidi ngoma ilivyokuja kuwa kubwa
 
Msanii diamond platnumz aachia ngoma aliyomshirikisha mwanadada Tiwa Savage ijulikanayo kama Fire

Huu wimbo kwa hakika ni utakuwa ni wimbo wa taifa na nautabiria utasambua sana kwenye media kwa jinsi ulivyosukwa na kusukika

Screenshot_2017-06-21-17-44-51_1.jpg

Kwa uhondo zaidi ,tembelea website ya wasafi .com kwa sh 300 tu ili uweze kuupakua wimbo huo .
 
Diamond mwenyewe anakwambia Sura nzuri kama Zarinnah Hassan na Shepu ya haja kama Wema Sepetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom