Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Kaachia ngoma ngapi!?
Kaachia nyimbo mbili, ila mmoja kati ya hizo ulishawahi kuvuja so kautoa tu kwasababu video yake alishaishoot mwaka mmoja ulopita,
 
Kwahiyo mpya hasa hasa ni ipi!??
Kaachia nyimbo mbili, ila mmoja kati ya hizo ulishawahi kuvuja so kautoa tu kwasababu video yake alishaishoot mwaka mmoja ulopita,
 
Kiukwel kwa maoni yang, I expected something big... Nyimbo sio kali kwakwel kwa mara ya kwanza Diamond katoa ngoma sijaielew sanaa
 
Masikio yako mazito kweli,, wewe sikiliza wimbo alyoshirikishwa na waje coco baby,, ile melody inasikika kwa hii ngoma mpya ya Fire....
Ooh, nimeona zimefanana kwa upande wa sauti, yaani zote ameimba kwa sauti ya kubana sana...
Kuna kipindi nilitamani Diamond aje atoe wimbo kwa sauti ya vurugu kama alivyofanya kwenye wimbo wa Victoria kimani(prokoto)..
Mungu akasaidia akaja kuijaribu kwenye wimbo alioimba na Cassper Nyovest(Moyo wangu)....
 
Bonge ya songiii goooo chibu kila lenye kheri ulipate nimwendo wa kuingia wasafi.com kupakua msosi mtamuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom