Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

As i said..angalau I miss u in content ya kutosha...its not boring to watch....and i think ni kwa sabab kaishoot cku nying...
Ila tangu awe na hivi vi dread vyake naona na ubunifu umekufa...
Nadhan ajikite kweny business tuu...muda si mrefu mziki utamtupa mkono
 
Wimbo ni mbovu mkuu kama ulitoa 300 yako kuinunua kwenye blog yako ni vema ukawadai wakurudishie
We jamaa huwa unanifurahisha sana,we kila siku unamponda Mondi lakini akitoa wimbo tu lazima ufanye juu chini uupate
Usanii ni kazi ngumu sana,kuimba nyimbo ikakubalika sio kazi ndg...
Any way hongera zimfikie Mond kwa nyimbo mpya,taisikiliza tena.
 
Anaelekea ukingoni
Mnachosahau...ni kwamba diamond is a star....na alishawaambia tatizo nyota..ukishajua hilo...wear your dancing shoes and dance with me...bingili bingili baayoyoyo...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom