Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz ft Tiwa Savage

Watu Daimond Hamjaanza Kumchambua Leo! Toka Miaka 10 nyuma Watu mmemchambua Diamond Kwa Kauli zile zile! So sioni kipyaaaa na Diamond kasema Mkitakaa kukomaa na Hizi I miss u zebu hizo hapo Komaeni nazo

Sio lazima ww ukubari wimbo ndionuwe hit huu wimbo upe leo na Kesho mtondogoo wote humu muauimbaaa mtondogoo wote humu mmesha tuma dedication

Na baada ya wiki 3 ni ngoma nyingine hakuna kulala........

Badirikeni hata kidogo kidogo ilisemwa sijui maneno hayasikiki sijui nini ila hii ni ngoma moja kaliii

Naapa kuja kuleta mrejesho wa huu wimbo after 3 Dayz
 
Kumbe mpaka uingie wasafi,Huu uzi unastahili kwewekwa jukwaa la matangazo
 
Interview ya leo niliipenda sana [HASHTAG]#xxlcloudsfm[/HASHTAG]
Yaani sikujua kuwa wanaweza kutokuongea sana hadi mtu usahau kuwa wana msanii wa kusikilizwa pia.

Wamempa nafasi na ameyaongea leo Diamond ha ha haaaa, akataka kuwa Nasibu kabisa ila akatuonjesha... safi. No maswali ya kulazimisha udaku hadi kuboa kama vipindi vingine.

Mwimbo mzuri, safi sana.
 
Nimeusikiliza daah domo itabidi aanze kuandikwa nyimbo maana kichwan mahairi now empty.....wimbo umekuwa kama wa ka tiwa savage.....domo kawa murdered kwenye wimbo wake mwenyewe ni aibu sana
 
mbona wa kawaida hivi,,labda ajitahidi kwenye video
 
Usanii ni kazi ngumu sana,kuimba nyimbo ikakubalika sio kazi ndg...
Any way hongera zimfikie Mond kwa nyimbo mpya,taisikiliza tena.
 
Aiseee huu ndio wimbo mwenyewe aliokuwa akisema anaamsha dude Leo?

Isije Kuwa hii katoa tu kama kikata kiu alafu kesho ndio atatoa hilo dude maana humu hakuna wimbo kuna kelele bora yule Harmonise aliimbia kitu ya maana kwenye Niambie.

Humu beat mbovu amejitaidia ku-copy beat ya Eminado ila kachemka yaani kelele tupu na Dimond anarudia melody zile zile.

Poleni sana mliopoteza 300 zenu kwa wimbo wa kiwango hiki....hii ni aibu.
 
kama Baraka Da Prince kasema ngoma ni Kali siwezi kubisha...KALI BANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom