Bro sijakutukana mzazi mm na inshort sijakutukana wewe bro leo utajilaumu bro siku ya leo utanitafuta muda si mrefu nimemalizaNani alieanza kutoa matusi?? Endelea kuisubiri hiyo radhi mpaka jua lizame
Am waiting. Nikwambie tu tusi halichagui umeanza nitusi toka jana,. Nangojea nione utanifanya niniBro sijakutukana mzazi mm na inshort sijakutukana wewe bro leo utajilaumu bro siku ya leo utanitafuta muda si mrefu nimemaliza
Asee ndio kaimba nini hapo, kumbe alicia na mme wake ni wajanja nia yao ilikuwa sii diamond bali ni fan base kutoka Africa
Mpaka sasa wasted energy ndio inakimbiza kwa viewers kwenye youtube channel yake about 500k zilizobaki ni 38k18kNdo ujanja wanaotumia “struggling” artists wa Marekani kwa sasa!
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz ukumbuke kwamba huyu dada Alicia Keys alishawahi kushinda shindano kubwa la muziki The Voice America akiwa na mwanafunzi wake Chris Blue huku akishindana na wasanii wenzake nguli kama Adam Lavine, Blake Shelton na Miley Cyrus.
Sasa kama utatumia huu mwanya kujifunza zaidi naamini hii ni nafasi yako ya kipekee kabisa kujifunza kutoka kwa huyo dada na utajifunza mengi mno. Binafsi naamini Diamond Platnumz ni mtu ambaye anapenda kujifunza hivyo utapata ujuzi mwingine mkubwa. Kiufupi hii Album ni nzuri sana japo hujasikika sehemu kubwa sana kwenye wimbo, usikate tamaa tambua kwamba hii kwako ni nafasi ya kujifunza zaidi na kufahamiana na watu wapya.
Hii Album ni kali sanaaaaaa nzuri hivyo naamini wengi wataisikiliza na watapenda kufahamiana na wewe, hata kufanya kazi na wewe. Wimbo "Wasted Energy" ushafika Rap Genius na mistari ya kiswahili ishatafsiriwa kwa lugha ya kiingereza. Nimefuatilia mtandaoni watu wameupenda sana wimbo na wametaka kujua nini kilichoimbwa na Diamond Platnumz: Hili ni jambo jema sana. Kaza buti ndugu yangu na endelea kutuwakilisha vyema. Nimeweka wimbo wenyewe na baadhi ya nyimbo za kwenye album..
Mpaka sasa wasted energy ndio inakimbiza kwa viewers kwenye youtube channel yake about 500k zilizobaki ni 38k18k
kaka nadiliki kusema ww ni miongoni mwa watu wanaofikiria kupitia matako.We jamaa una poor thinking kabisa kama humjui alicia keys,rickross ,omarion na neyo kiufupi kwenye ramani ya muziki hujui unachokijua hawa jamaa ni unavoidable kabisa utakuwa unasikiliza nn sasa ? Huezi ukaniambia eti kuna mtu mpenda mziki awajue hawa majamaa kupitia diamond hell no hata kama ni kupata fan base huezi niaminisha mtu mwenye fan base world wide eti apate fan base kwa mtu anayesikika only africa na few huko duniani labda kama unafikiri kutumia matako
Enhee niambie fafanua bro sio unabwabwaja tu unajua lakini niliochoongea au unadandia trenkaka nadiliki kusema ww ni miongoni mwa watu wanaofikiria kupitia matako.
Kabisa.Lakini naona kuna jambo wanaweza kulifanya maana ukipita kwenye tweets za swizzbeats unaona wanaonesha huu kama ulikuwa mwanzo tuu.Ukisoma comments utajua nguvu ya diamond platnumz nadhani ata Alicia keys huko alipo anajilaumu kuweka kipande kifupi cha huyu jamaa..
According to swizz beats anasema Diamond platnumz alichagua kufanya hiki alichofanya.Jamani hapo diamond alimaliza verse yake au alikatishwa?
Huendi mbinguniAsee ndio kaimba nini hapo, kumbe alicia na mme wake ni wajanja nia yao ilikuwa sii diamond bali ni fan base kutoka Africa
Yani baada ya wimbo kwisha ndio Diamond akapewa nafasiHuu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz ukumbuke kwamba huyu dada Alicia Keys alishawahi kushinda shindano kubwa la muziki The Voice America akiwa na mwanafunzi wake Chris Blue huku akishindana na wasanii wenzake nguli kama Adam Lavine, Blake Shelton na Miley Cyrus.