Afu Askofu akiamka umuulize kama huu wimbo una hadhi ya kuimbwa kanisani....i. OK?
Is it only a monday??:argue:
Mkoloni anataka kuingia chamani kwahiyo alikuwa anaaangalia procedures ila mkoloni yule kiboko kweli FEA WEI weekend hii lazima nifuate BATA na KANGA.
:confused2::confused2::confused2:
Angalizo: BATA na KANGA sio tusi:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Askofu bado amelala
aah wapi, niulize mimi mkuu... kuna mbu balaa
Inampasa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.....anyways damu yako i juu ya mikono yetu...hadi wajukuu,,,,,lakini kwa kuwekwa kwako keko sisi TUMEPONA>.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
hebu kaifufue ile sredi yetu tujinoe tena na ushairi!Hata huu wimbo ni kiboko.... Jamaa ni kichwa sana mashairi yake yamekwenda shule
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.hebu kaifufue ile sredi yetu tujinoe tena na ushairi!
:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
:welcome:
Umeulizwa??..:mmph:
😛ray:😛ray:😛ray::typing::typing::typing::typing::ranger::ranger::ranger:
:fish2::fish2::fish2:
:fish2::fish2::fish2:
Hata huu wimbo ni kiboko.... Jamaa ni kichwa sana mashairi yake yamekwenda shule
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.
Tatizo uchakachuaji babu , watu wanachakachua usipime unawezajikuta hata bailoji yako imechachuliwa na kuwekewa ya mwingine- mi ctaki kabisa babu.
Ni kweli usemayo rose wanawake wengi situation zinatubana, ukiangalia watoto halafu huna uwezo wa kuwalea peke yako ndio nguvu zinakuisha kabisa. Lakini kama mtu una uwezo unaweza ukaachia ngazi yakizidi, ila kuna mengine inabidi uvumilie tu kwani ukweli ni kwamba wenzetu wameumbwa hawawezi kuwa na mwanamke mmoja hilo wanawake inabidi tukubaliane nalo (mtanisamehe) ila na nyinyi kina baba hata kama ndio nature yenu msizidishe
Weee habari ya Property right hapa kwetu bado haijafahamika bwana watu wanachakachua tu.... unashtukia tu haipo!!Hivi biolojia yako mtu ukiifanyia copyright wataichakachua?
Sasa je!! Babu wachina wabaya bwana yaani wameharibu ladha nzimaBora umestuka mapema! Manake waweza kuta umechakachuliwa ukapewa ya kichina. We wabaki washangaa kidume kikipita kusalimu baioloji, hakirudi tena kuijulia hali.
Sasa je!! Babu wachina wabaya bwana yaani wameharibu ladha nzima
We huoni hata ladha ya valuu siku hizi siyo kabisa... iko kama spirit vile
Sasa je!! Babu wachina wabaya bwana yaani wameharibu ladha nzima
We huoni hata ladha ya valuu siku hizi siyo kabisa... iko kama spirit vile
s.o.r.r.ythats name calling....you have been warned!
Thats name calling....You have been warned!
Habari yako hivi umelala kwenye kigango au gesti mbona umechoka kiasi hicho
Kama unamaanisha kuvua samaki basi we subiri ban....
Hivi yule mkoloni alikuwa anafanya feasibility study jana pale FEA WEI
Naanza kufunga rasmi kwa ajili ya kukuombea wewe Ze Finest, Mungu akusaidie... una matatizo makubwa sana... Shetani anakuchakachua...
...:ban:....Pole Samaki...:fish:....:banplease:
...:gossip:.... (kiherehere)
MATY mama naomba nkubaliane na wewe yote bt apana kuna wanaume wazuri wewe acha yan ni moja kwa moja yan atok wala hana kaz za nje ni hawa wadudu watu ndo wanajifnya kutoa excuze kwamba ni necha ..necha necha gan?ahh apo ni temba tu akuna necha wala nini....ahh u ni ushetan tu kuna wengi tu waaminifu mama yangu mpk waona raha yan dahh acha tu
usikubali kuingzwa kwenye mkumbo uo wa kutoka nje NI NECHA KWA WANAUME...kwa justfctn ip?ahh apana.
mbona we utok?assume aujaolewa bado na hauna mtoto wala nin lakn jamaa anapga nje daily apo napo inakaanje?kwan wewe HAUJAWAI KUMPENDA AU KUMTAMAN KIJANA MWNGNE UKO NJE?mbona haukumkubalia?y?Y yeye ashndwe kujimudu na game lilivyo ni mademu wangekuwa wanaongoza kwa kaz za nje cz wao ndo wanatongozwa na vishawish viiiiiiiiiiiiing wanapata iweje ajimudu kusema noooooo na wewe njemba daily mitaani kutafuta c.h.u.p mpya?kwa gharama zote na muda wote?
ushedwani tu..ahh yan nimekasirika maty ngoja tu nkanywe chai ebu njooo uku tule mwaya
unajua nadhani uwezo wa kusamehe wa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume na pia wanawake wameumbwa na roho ya uvumilivu kuliko wanaume ndio maana wanaweza kubeba mimba mpaka kuzaa na kumlea mtoto kwa moyo wa upendo na kujinyima chochote ili mtoto akue ile ni roho ya kipekee sanaNi kweli haivumiliki kaka but wapo pia kina mama wanaoshukudia matrimonial beds zao zikitumika kama uwanja wa rough je nao washindwe kuvumilia? Ninawaza tu kaka si kwamba ninataka kubishana !
Maty kama kweli wewe ni mwanamke na una msimamo huu, hongera sana kwa kuwa muelewa wa hili!!! lakini nahisi wewe ni mwanaume umeandika hivi!