MATY mama naomba nkubaliane na wewe yote bt apana kuna wanaume wazuri wewe acha yan ni moja kwa moja yan atok wala hana kaz za nje ni hawa wadudu watu ndo wanajifnya kutoa excuze kwamba ni necha ..necha necha gan?ahh apo ni temba tu akuna necha wala nini....ahh u ni ushetan tu kuna wengi tu waaminifu mama yangu mpk waona raha yan dahh acha tuNi kweli usemayo rose wanawake wengi situation zinatubana, ukiangalia watoto halafu huna uwezo wa kuwalea peke yako ndio nguvu zinakuisha kabisa. Lakini kama mtu una uwezo unaweza ukaachia ngazi yakizidi, ila kuna mengine inabidi uvumilie tu kwani ukweli ni kwamba wenzetu wameumbwa hawawezi kuwa na mwanamke mmoja hilo wanawake inabidi tukubaliane nalo (mtanisamehe) ila na nyinyi kina baba hata kama ndio nature yenu msizidishe
hehehehe!
sasa tatizo ni kwamba mtuhumiwa ILIKUWA LAZIMA ASULUBISHWE!kama jizaas
:dance::A S-rose::dance: happpy monday 2u st roy!!!!!
Ewaaa....angalau naanza kuona vizuri sasa......:A S-rose:.....halafu twenzetu ku-PM..
Inampasa mtu mmoja afe kwa ajili ya watu.....anyways damu yako i juu ya mikono yetu...hadi wajukuu,,,,,lakini kwa kuwekwa kwako keko sisi TUMEPONA>.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Kwani kaenda kwa kesi gani?? Hakuna uwezekano wa kuichakachua ikawa mada kesi?
:A S 41::bathbaby::ranger::ranger:
Orait..katibu hapa uko kifamilia ama kikazi? kama kikazi usisahau kutuletea minutes
Alikamatwa na FISH:biggrin1::biggrin1:
Cheaman kumbe upo?? I can always separate business from pleasure...:shut-mouth:
hehehe!Mwenyekiti na katibu.... Naomba kuwauliza..
Hivi inakuwaje Mfalme anapokuwa hayupo? Mweka hazina haimpasi kukaimu nafasi yake?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Ewaaaaaaaa! Sasa tii kiu yako:A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:haka ka wimbo kananifarijigi sana.....
hehehe!
you have it all!.....
KING ACCAUNTANT
Mwenyekiti na katibu.... Naomba kuwauliza..
Hivi inakuwaje Mfalme anapokuwa hayupo? Mweka hazina haimpasi kukaimu nafasi yake?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Mwenyekiti na katibu.... Naomba kuwauliza..
Hivi inakuwaje Mfalme anapokuwa hayupo? Mweka hazina haimpasi kukaimu nafasi yake?:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Naamini haya niyasomayo hapa yapo kwenye kumbukumbu zetu!!!:A S 103::A S 103::A S 103:
Ushawahi kusikia wapi acting king??? labda aage hii dunia, aende kwenye sayari nyingine.....
Ushawahi kusikia wapi acting king??? labda aage hii dunia, aende kwenye sayari nyingine.....
Tatizo ni kwamba YUPO sema kabadili tu mavazi na in fact yuko kwenye special mission
Hakuna kukaim hapo...
tatizo ni kwamba yupo sema kabadili tu mavazi na in fact yuko kwenye special mission
hakuna kukaim hapo...
Hata huu wimbo ni kiboko.... Jamaa ni kichwa sana mashairi yake yamekwenda shuleKuna Ule mwingine unaitwa ''Chunga Acha Tamaa''.........mzuri sana mwenye mashairi yake atutumie