MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!Usiniambia unataka usawa katika hili.
MJ1 sijui kuna sehemu ulikuwa unatulenga ngoja niipotezee ila umemaliza kabisa
Usinambie Babu nimekuwa mkoloni nineja kwako.. nimekushika pabaya? mbona unakimbia ebu nijibu kwanza : Why? Maana hii inanipa picha kuwa Bila wanawake hakuna ndoa maana wao ndio wanaozifanya zisimame!!Mjukuu umenimaliza! Umeua mazima!
Anyway, Thanks!
We The Finest hebu rudi hapa upesi..... unapotezea nini si useme tu ukweli?? HahahahaMJ1 sijui kuna sehemu ulikuwa unatulenga ngoja niipotezee ila umemaliza kabisa
mtu utavumilia vp kitu kama hicho, mtu anasema kabisa alirudi akakuta mtu anachakachua kwenye gheto lake hiyo haivumilikiSitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!
Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??
We The Finest hebu rudi hapa upesi..... unapotezea nini si useme tu ukweli?? Hahahaha
Sitaki Usawa Kaka Jambazi ningependa kuelewa tu kwa sababu gani sie tuweze kuvumilia wakati kina kaka hawawezi, na mbaya zaidi hata jamii inawaruhusu kutokuweza kuvumilia!!!
Kwa nini asivumilie tabia za mpenzi wake badala ya kujiweka pembeni??
Duh kwa hiyo ni sawa sie tukubali nyie muingize mlichoingiza kwa wengine eh? Kaazi kweli kweliKwasababu ya maumbile.
Sisi tunatoa nyie mnapokea. Unataka mi 'nitwage' juu ya uchafu wa mwanaume mwingine?
Ni kweli haivumiliki kaka but wapo pia kina mama wanaoshukudia matrimonial beds zao zikitumika kama uwanja wa rough je nao washindwe kuvumilia? Ninawaza tu kaka si kwamba ninataka kubishana !mtu utavumilia vp kitu kama hicho, mtu anasema kabisa alirudi akakuta mtu anachakachua kwenye gheto lake hiyo haivumiliki
MJ1....gmorning.....LET IT GO......Please:tape:
Kwa heshma yako kaka.MJ1....gmorning.....LET IT GO......Please:tape:
Is it only a monday??:argue: