Wimbi la wanawake viazi

Wimbi la wanawake viazi

Ameniboa kiasi kwamba sikugundua kuwa hata neno lenyewe hajui kuliandika. kilaza kweli huyu asante [TAG]Maserati[/TAG]

CC [TAG]Kibovu[/tag] kweli wewe ni kiazi
Yaani samaki mzima aliye chini kabisa ya Ndio anawacheka samaki wabovu walio juu ya ndoo.
Kiasi aliyemo kwenye gunia la viazi huyo. Mr.gentromen
 
Yaani samaki mzima aliye chini kabisa ya Ndio anawacheka samaki wabovu walio juu ya ndoo.
Kiasi aliyemo kwenye gunia la viazi huyo. Mr.gentromen
Asikumalizie usingizi [TAG] Kibovu [/TAG] bado kitoto cha shule. we mwenyewe umeona hatakuandika hakijui.
 
Ndugu wanajamvi kutokana kuwa na wimbi kubwa la wanawake viazi wanaume siku hizi wamekuwa ndo wanahemea nyanya sokoni, wanapika, wanasafisha nyumba, wanaosha vyombo nk.


Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen inasikitisha Sana dume zima unaosha vyombo mkeo yupo Instagram.


Suluhisho la tatizo hili wanaume tuwe magentromen usipende kucheka cheka na mke wako without reason

Am done wakuchukua achukue


Kweli MageNTROmen ndo waosha vyombo. MageNTRomen ni kinyume cha gentlemen.
Gentlemen wanatangeneza pesa na wake wanafanya hizo shughuli na waume wakipata muda wanawasaidia wake zao.
Wee endelea kuwa geNTROman
 
Ahsante Mr.Gentroman , tumechukua ushauri wako baba
 
Huu uzi kweli ni wa [HASHTAG]#kiazikibovu[/HASHTAG].
 
~~~>>> Hapo kiazi sio Mwanamke bali ni huyo Mwanaume........
 
"....Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen"

Mkuu kiumeni kuna Gentlemen sasa hao gentromen ni wa wapi ??
Atakuwa mkurya huyu, aliletwa auze mayai sasa kajua kusoma lkn kuandika bado hajajua
 
Mapenzi yetu yanakuhusu nini??? Mkuu.
Ha ha ha ha.
Vile unanisaidiaga kufua nepi za mtoto,
Kupikaa. Atuache na mahaba yetu.
Baba p hizi nyuzi usiwe unakuja zinafundisha tabia mbaya
 
Ha ha ha ha.
Vile unanisaidiaga kufua nepi za mtoto,
Kupikaa. Atuache na mahaba yetu.
Baba p hizi nyuzi usiwe unakuja zinafundisha tabia mbaya
Hahaha Sasa Mama p nisiwe nakuja ?

Hizi zinafungua akili....
 
Nikisoma huo uandishi nawaza nani sasa kiazi!!
 
Back
Top Bottom