Ukichunguza sana kama ana umri mdogo huwa ni bahati mbaya ila kama umri umeenda kiasi huwa ni sababu kakosa wa kumwoa hivyo huamua kuzaa ili kuondoa aibu kwake ili aonekane nae kazaaWakuu habari,
Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.
Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.
Tujadili kwa undani...
Je chanzo cha haya yote ni nini?
Kwanini wadada hawaolewi?
Doncute
Akikujibu jibu la kuridhisha unitagmtoa mada ushazaa?
Ila wengi wasomi wanawake nimeona wengi hawana watoto na wengine wanalea watoto za dada zao au wadogo zao sijui shida ni nini kwa nini hawazai na umri unakuta ushasogea kiasiWanaume wanaogopa kuoa wajane, unakutana na mwanamke amemaliza degree, toka yupo form one ana fanya mapenzi na kutoa mimba na kubadiri mahusiano, huyo ataolewa kweli? Acha azalie home tu, maana huyo sio binti n mjane
Akikujibu jibu la kuridhisha unitag
wazaramo wamezidi kwa tabia hiyoWakuu habari,
Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani.
Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda.
Tujadili kwa undani...
Je chanzo cha haya yote ni nini?
Kwanini wadada hawaolewi?
Doncute
Mjane tena...aisee!Wanaume wanaogopa kuoa wajane, unakutana na mwanamke amemaliza degree, toka yupo form one ana fanya mapenzi na kutoa mimba na kubadiri mahusiano, huyo ataolewa kweli? Acha azalie home tu, maana huyo sio binti n mjane