Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Kuna njia salama sio lazima dawa za mchina!
IMG-20190611-WA0032.jpeg
 
Wananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi?

Na kama zina fanya, nani ana ushuhuda huo?

Lakini pia mamlaka usika hili suala mliangalie kwa ukaribu kama halina madhara au lina madhara maana ki ukweli sidhani kama haya mafuta na madawa TFDA wameyakagua, ni pamoja na krimu za kujichubua siku hizi kila mtu anatengeneza kienyeji enyeji.
Sikia, hizo dawa hata zingelikuwa zinafanya kazi vizuri na ni original, tatizo lipo kwenye soko la mahitaji.

Hivi nani aliwaroga wanawake na kuwaaminisha kuwa makalio makubwa na kubleach ngozi na nywele ndiyo mahitajio ya kila mwanaume duniani?

Unakuta kila mwanamke ni mkorogo na ku fake shape!

Wanawake wote na maumbile yao na sura zao za asili, ndiyo mahitajio yetu wanaume tuliopo.

Emb jaribuni tu kuoga na kujikwatua bila kutumia hayo makitu, muone kama "dada wasemaje"zitakoma.

Tena wenyewe ni mashahidi, mwanamke aliyejiweka natural mtaani anagombaniwa na wanaume kuliko mwenye ma bleach yake kila kona ya mwili.

Wengine akili zetu zina kinyaa, nikiona ume fake rangi na nywele zako, hata naniliu ntajua kuwa nayo itakuwa ni fake tu, nakuona napotezea.

Tutendeeni haki kwa kuacha sura zenu za asili alizowabarikia M/Mungu, maana ndiyo mahitajio yetu sisi wanaume zenu.
 
Watu wa Dar mnatisha sana.Ndiyo maana mnaitana vibamia
 
Mkuu siku hizi Tako linathamani kuliko hata Degree au PhD ndiko tulipofikia,Mwenye Tako anajiaminisha Sana kuliko msomi yeyote,noma kweli
 
mkorogo wa kijiko kizuiani una wateja lakini una madhara makubwa sana
waru wanakua kama ndizi ikiyochomwa
sasa swali ni je japo kuna wateja je INA MATOKEO CHANYA
Mtizame wema sepetu alivyo saivi...and linganisha na alivyokuwa miaka miwili kabla...that is not aging at all..
 
Ile shep hajatumia dawa
Inatumika kudanganyia watu kuwa ukitumia dawa fulani unakuwa na shape kama hiyo
hHhahahah katika matangazo yao wanawwka shepu Og wanadanganya ukitumia unakua hivyo
 
Sikia, hizo dawa hata zingelikuwa zinafanya kazi vizuri na ni original, tatizo lipo kwenye soko la mahitaji.

Hivi nani aliwaroga wanawake na kuwaaminisha kuwa makalio makubwa na kubleach ngozi na nywele ndiyo mahitajio ya kila mwanaume duniani?

Unakuta kila mwanamke ni mkorogo na ku fake shape!

Wanawake wote na maumbile yao na sura zao za asili, ndiyo mahitajio yetu wanaume tuliopo.

Emb jaribuni tu kuoga na kujikwatua bila kutumia hayo makitu, muone kama "dada wasemaje"zitakoma.

Tena wenyewe ni mashahidi, mwanamke aliyejiweka natural mtaani anagombaniwa na wanaume kuliko mwenye ma bleach yake kila kona ya mwili.

Wengine akili zetu zina kinyaa, nikiona ume fake rangi na nywele zako, hata naniliu ntajua kuwa nayo itakuwa ni fake tu, nakuona napotezea.

Tutendeeni haki kwa kuacha sura zenu za asili alizowabarikia M/Mungu, maana ndiyo mahitajio yetu sisi wanaume zenu.
mkuu kwa upande wako ila wanaume wengi wanapenda hivyo vitu
anamuacha natural anaenda chepuka na wa aina hiyo
 
hivi hii ni Myth au kweli zinaongeza makalio??,for how long? lol..nataka niongeze miguu yangu..ni ya akina manka pyua lol
 
Back
Top Bottom