Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Mzee natural inaladha yake... Chochote kinacho ongezewa ni pale pale "kujiamini" hakuna
Hayo mambo yote ya ki lofa. japo mimi binafsi huwa natamani zile lace wig zao zingekuwa nywele zao za asili.
 
Hata hz za nguvu za kiume nazo ni kuzidi kujiua tu, na cha kushangaza wanapata wateja, halaf hio misambwanda wasivyojua weng tukiiona tunawaza ngono/kitandan na sio mke wala ndoa, pumbav
 
Ndio ujue kuwa zinawateja
mkorogo wa kijiko kizuiani una wateja lakini una madhara makubwa sana
waru wanakua kama ndizi ikiyochomwa
sasa swali ni je japo kuna wateja je INA MATOKEO CHANYA
 
Hata hz za nguvu za kiume nazo ni kuzidi kujiua tu, na cha kushangaza wanapata wateja, halaf hio misambwanda wasivyojua weng tukiiona tunawaza ngono/kitandan na sio mke wala ndoa, pumbav
kutaman ni hatua moja wapo ya kupenda
 
Matokeo chanya yapo. Kwani huyo posh haumjui. ...? Haujawahi kumuona alivyo kuwa before and after ?
mkorogo wa kijiko kizuiani una wateja lakini una madhara makubwa sana
waru wanakua kama ndizi ikiyochomwa
sasa swali ni je japo kuna wateja je INA MATOKEO CHANYA
 
hana hela hiyo......sina uhakika
china wanadai ni bei ya kaawaida ila risk sana
ila kwa labda aliyemuona poshi ndani ya nguo labda sijawah muona na bikini
ndo utajua kama matokeo ni chanya
maana ndani unaweza kutoka mabonde mabonde
 
china wanadai ni bei ya kaawaida ila risk sana
ila kwa labda aliyemuona poshi ndani ya nguo labda sijawah muona na bikini
ndo utajua kama matokeo ni chanya
maana ndani unaweza kutoka mabonde mabonde
mhhh picha zake za before and after zinanishawishi hips sio OG,
ngoja Joseph Musukuma anakula leo atatupa mrejesho
 
Back
Top Bottom