Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Wimbi la dawa za kuongeza makalio

Wananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi?

Na kama zina fanya, nani ana ushuhuda huo?

Lakini pia mamlaka usika hili suala mliangalie kwa ukaribu kama halina madhara au lina madhara maana ki ukweli sidhani kama haya mafuta na madawa TFDA wameyakagua, ni pamoja na krimu za kujichubua siku hizi kila mtu anatengeneza kienyeji enyeji.
Biashara ni hiyo na dawa za kuongeza nguvu za kiume baaaaasi, yaan tujipe pole Tanzania, tutasubiri sana.Watu wanawaza sex tu
Tanzangononia
 
kuna dada anaitwa Poshy amekaribishwa Bungeni kuzinadi hizo dawa.
.
Screenshot_20190618-201003_YoWhatsApp.jpeg
 
Hiki kichwa, niachie mwenyewe....na ushamba pia.
Haya nimekupata sasa.

Bibi yangu yuko milima ya Himalaya
Bibi yako yupo milima ipi bbade, ya usambara au upareni

Bibi anayetajwa hapo ni yule uko nae katikati hapo
 
Hiki kichwa, niachie mwenyewe....na ushamba pia.
Haya nimekupata sasa.

Bibi yangu yuko milima ya Himalaya
Haha, Ni heri ukabaki na huo ushamba. I was kidding bwana!
 
Back
Top Bottom