walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,832
- 5,632
Umenichekesha hapo uliposema munaibiwa wanaume hahahaha ila ni kweli kabisa mana mabinti wakijikandika ayo kwa kweli lazima udate wanakuwa wamependeza hatari ila sasa serikali kuzuia itakuwa ngumu coz wanalipa kodi na nchi yetu hii wanaangalia kodi mazara atajua mtumiaji mwenyewe
Dawa hayo madawa yapigwe marufuku tu plus kope,kucha,nyusi,makalio,chuchu,tumbo(bandia) na wigi zote kwani zina madhara.
Tunaibiwa wanaume,mtu mweusi tiiii lakini akijikoboa anakuwa kama Mkorea/Mwarabu.
Wanachokitafuta watakipata tu siku moja.