masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,825
- 16,903
- Thread starter
- #101
picha moja nadhani kipind akiwa mdogo na hiyo nyingine kipindi akiwa mkibwa
picha moja nadhani kipind akiwa mdogo na hiyo nyingine kipindi akiwa mkibwa
Ndio nishangae, mtoto wa mjini kabisa...Hunipendi....badala ya kunitoa ushamba unanibakiza nao?
I was pulling your legs too![]()
Hujambo Agatha?😳 😳 😳 😳 😳 😳 😳
Sijambo! Umzima?Hujambo Agatha?
Mzima sana, maisha yanaenda!!!Sijambo! Umzima?
Bashite anahusika!!!Mkuu siku hizi Tako linathamani kuliko hata Degree au PhD ndiko tulipofikia,Mwenye Tako anajiaminisha Sana kuliko msomi yeyote,noma kweli
Yanaenda boss !Mzima sana, maisha yanaenda!!!
Nawewe unahitaji kuengeza makalio.? Unataka kujua yakuwa hazitokuletea mazara mwilini.Wananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi?
Na kama zina fanya, nani ana ushuhuda huo?
Lakini pia mamlaka usika hili suala mliangalie kwa ukaribu kama halina madhara au lina madhara maana ki ukweli sidhani kama haya mafuta na madawa TFDA wameyakagua, ni pamoja na krimu za kujichubua siku hizi kila mtu anatengeneza kienyeji enyeji.
Kama unatamani ziwe vile,ndio maana wanaweka zinazofanana na hizo,na nyie ndio mnaofanya waweke hizoHayo mambo yote ya ki lofa. japo mimi binafsi huwa natamani zile lace wig zao zingekuwa nywele zao za asili.
Makalio yaliyoongezwa kwa kutumia madawa yanakuwa hayana radha yanakuwa na radha ya kichina kichina kitu ukutane na msambwanda wa kiasili ni tamu mno
Jo imina naleng NganasheWananzengo naomba kuuliza hivi hizi waziitazo dawa za kuongeza makalio ambazo ki ukweli insta karibu asilimia kubwa wanazitangaza kwa sasa zinazidi kuongezeka je ni kweli zinafanya kazi?
Na kama zina fanya, nani ana ushuhuda huo?
Lakini pia mamlaka usika hili suala mliangalie kwa ukaribu kama halina madhara au lina madhara maana ki ukweli sidhani kama haya mafuta na madawa TFDA wameyakagua, ni pamoja na krimu za kujichubua siku hizi kila mtu anatengeneza kienyeji enyeji.
Wanachokitafuta watakipata tu,mwisho wa siku dawa zikikaa muda mrefu mwilini zina tabia ya kupasua makalio au matiti yaliyokuzwa,siku ikiwadia utasikia pyuuuuuuuuu kama pancha tairi scania na miruko/misambao ya damu/usaha huku na kule.Halafu kupona ni nshuuu,akipona bonge la shimo sehemu pancha ilipofyatukia.
kuna dada anaitwa Poshy amekaribishwa Bungeni kuzinadi hizo dawa.
Dawa hayo madawa yapigwe marufuku tu plus kope,kucha,nyusi,makalio,chuchu,tumbo(bandia) na wigi zote kwani zina madhara.Hahahahahaha,,, hatari sana mkuu ila hawa dada zetu kwani wanaelewa hata yani unaweza kuleta hapa hata ushaidi wa picha mtu kapasuka matako lakini wala hawatakuelewa kabisa kikubwa tiwaache tu wafanye mambo yao mwisho wa siku watakipata wanachokitafuta