Willy Malecela kajiunge na Arumeru Kampeni Management Team

Duh aisee leo Willy Malecela Allias Gamba Jipya umenipa raha sana, you real make my day kwa jinsi ulivyokuwa ukijiuliza na kujijibu mwenyewe with two different IDs. Different IDs, one people! You are a very clever boy!

Kuna watu wabishi humu ndani. Kwa hiyo jamaa alikua anajijibu siyo? Au alikua na device mbili tofauti nini? Ha ha ha ha!!!
 
Kama hali itaendelea kuwa hivi Taifa hili litaendelea kuangamia, vijana tunapaswa kushikamana bila kijali itikadi zetu za kisiasa, adui wa maendeleo ya Tanzania si CCM kama inavyodhaniwa na wengi na wala Chadema hakileta ukombozi wa maendeleo ya Taifa letu, Taifa letu limetekwa na kikundi cha mafisadi wachache ambao wamo ndani ya vyama vyote ni aibu sana kuona vijana tumetekwa akili badala ya kujadili hoja za msingi tunapoteza muda kujadili mtu binafsi hakuna anayekatazwa kwenda Arumeru kupiga kampeni uwanja upo wazi kwa kila mtanzania; William kwenda kwenye kampeni ni utashi wake na anaonekana ni mtu wa kupinga ufisadi hatuna sababu kumhukumu kwa makosa ya baba yake.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mi nadhani huyu kijana kazaliwa kwenye familia ya kisiasa hana haja ya kwenda kupasha Arumemeru ni muda tu unahitajika wa kujipanga na kusubiri 2015 apindue kibajaji asonge ni moja wa watu wenye fiksa za leo kwanza si lazima akapitia ccm anaweza akaungana na chama chochote watu wa leo 2 wale wa enzi za chama kushika hatamu bro nimeipenda ya kupita majna kujua mahitaji ya jamii kuliko kukaa na kutafuta pesa za kuhonga wapiga kura big ugimboni
 
Kwani toka lini wewe majibu yako yakawasaidia wananchi zaidi ya kuuza sura tu ooh nchi 4 ulaya wiki mbili dar?? msaada upi hasa uliowahi utoa kwa wananchi mbaka uweze kusimama na kutamba kiasi hicho ati huna muda?? ila muda wa kuandika pumba fb unao si ndio??
Aise kweli wabongo tuna wivu. hasira za nini tena mzee?
 
Ubunifu wa hali ya juu Le Mutuz unatuma thread ya kujishauri hahhahahhahahahahhahahahahah
Mkuu Willy heshima mbele sana,

Nakushauri uende Arumeru kwenye kampeni management team ya chama ili uweze kujifunza siasa za Bongo, japokuwa kuchukua jimbo lile itakuwa rahisi sana kama uzini lakini bado naamini kuna vitu viwili ama vitatu utajifunza, ili uweze kujipanga kwa 2015 kunyakua jimbo Dom, naamini utajifunza sana ukiwa Arumeru ground zero.

Natumai tuko ukurasa mmoja, katika kuendelea kumkoma nyani giladi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom