Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
Sidhani kama anaendaga kanisani huyu...
Kipindi ni recorded
ajabu wanaomtetea slaa sasa ni magambas!ahahaha
Tido alimshindwa Kinana atamuweza Dk Slaa?
Sasa nazidi kuelewa zaidi ni kwa nini Watanzania wana hali mbaya hivyo. Ni watu wanaodanganyika kirahisi mno. Hapa tayari wako watu wengi wamedhani ni kweli Dr Slaa amemkacha Tido Mhando.
Vile vile, ni Tanzania tu ndiyo yenye watu wanaoweza kudhani kwamba kikundi cha watu walioachishwa uongozi kwa sababu za kupokea rushwa na wizi kitakuwa ndio mkombozi wao.

Ameanza kufyatua matofali ya kujengea shule,kapiga bukta NA chepeo mkononi anachanganya mchanga
Irrelevant example ,poor MDHaisaidii unakwenda medical school kwa miaka mitano shule ngumu, unashidwa kwenda intern mwaka mmoja..alafu unakosa cheti cha kupractice, haina maana hata kidogo na watanzania wngi ndo tulivyo, papara, mihemko na tamaa tunakua na maisha nusu nusu
Babu katoroka sasa cha mtu alichokula si ateme
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Kuna siku atakuja changanyikiwa !!