William Mganga Ngeleja anafaa urais 2015

Ngeleja ni jembe upinge,ukatae ukweli kijana William ni jembe lenye makali. Kelele za vyura hazimzuiagi Ng'ombe kunywa maji..
 
Mtoa mada ameamua tuu kujifurahisha mtu mwenyewe hafikiriwi hata kamati kuu.
 
"mimi nawaomba watanzania waniamini na waone kuwa mimi ninekaa nikajifikiria sana kuwa nafaa kubeba jukum hili.

Pia rais wa mwaka huu awe na sifa zifuatazo
🌂asiwe mbabe
🌂asiwe na jazba
🌂awe mwenye kuwaunganisha watu
🌂awe mstahimilivu
🌂awe muadilifu kwa watanzania.
🌂asiwe mtu wa kulipiza visasi"
hayo ni maneno aliyoyasema william ngeleja akiwa anachukua form ya kuwania urais kupitia ccm
 
Ngereja kakupa shilingi ngapi kwenye hii post?
Jimboni kwake kwanza hawamtaki
Hana cariba za urais
Hajui kufanya presentation... Siku anatia nia alikuwa anadesa hadi nukta.....kama vile hotuba sio yake.

Kitendo chake cha kumkwida mlinzi wa ATM babu wa watu akafukuzwa kazi kinamuandama hadi leo.
Hafai urais, hafai ubunge, hafai udiwani, hafai uenyekiti wa kijiji.
 
Huyu jamaa anakubalika sana Zanzibar. Maana wakati anatangaza nia alikuwa na WaNEC kibao toka Zanzibar pia Hata alivyoenda kutafuta wadhamini alipokelewa na watu kwa mapokezi makubwa
 
"mimi nawaomba watanzania waniamini na waone kuwa mimi ninekaa nikajifikiria sana kuwa nafaa kubeba jukum hili.

Pia rais wa mwaka huu awe na sifa zifuatazo
🌂asiwe mbabe
🌂asiwe na jazba
🌂awe mwenye kuwaunganisha watu
🌂awe mstahimilivu
🌂awe muadilifu kwa watanzania.
🌂asiwe mtu wa kulipiza visasi"
hayo ni maneno aliyoyasema william ngeleja akiwa anachukua form ya kuwania urais kupitia ccm

Hizo sifa kamuulize yule mlinzi wa kibanda cha ATM Ngeleja aliyemfukuzisha kazi kama ni za kweli
 
jamn tuwe tunafkir tunapoleta topic hum ngeleja na ikulu hat nyie hamuoni kuwa ni vtu viwil tofaut watz tujiangalie ten kuna watu hatakiw kuwa na nafac tz hii
 
Back
Top Bottom