William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Huyu le mutz ni pimbi juzi anapiga simu anatisha eti ataweka watu ndani wanaokoment kama awezi kuvumilia asipost chochote
 
Huyu le mutz ni pimbi juzi anapiga simu anatisha eti ataweka watu ndani wanaokoment kama awezi kuvumilia asipost chochote

- Unapost ujinga nakuuliza unasema ulikuwa unatania yaani umenunua bundle kwa bei yote ile kuja kutania watu Social Media wakati wenzako we make money, akili bwana kweli ni nywele!!

le Mutuz
 
Ile Radio vipi hufungui tena?? Jamaa huwa una mipango mia 8 lakini hata haifanikiwagi..

Yaani wewe na Pimbi hamna tofauti yeyote..

- Nilikuwa busy kuandika kitabu cha Social Media na uchaguzi uliopita kurasa 360, sasa hivi nina new TV Talk Show, Radio na TV it is only a mtter of time vifaa vilishakuja toka Italy, sijawahi kupanga plan ikaharibika cause huwa nafanya utafiti kwanza, na sijawahi kusumbuliwa na kelele za mlango kama zako maana for sure wewe ni mkosaji, hahahahahah pole sana kama vipi hapa ofisini kwangu naajiri watu wa Blog, unakaribishwa maana unalia lia sana na mimi for sure una matatizo maana ukiona moshi ujue kuna moto chini hahahahahaha

le Mutuz
 
Le Bwegezz, Le mutuzz, mtu mzima asiyejielewa kuliko watoto wote wa viongozi in Tz!!
 
Mzee John Samwel Malecela anajuta kuchepuka


Kinky

Ha! Ha! Ha!
Kinky umenifanya ni comment just coz umenichekesha saana mefuatilia comments zako zoote zimekaa ki aina ya lazima utoe meno nje...

Ha ha ha ha we nomma
 
silence could be his better weapon, kuandika aliyo andika ni kudhalilisha hizo degree 3 alizo nazo,
#au ndo ule msemo kuwa thermometer yenyewe ina degree 100 lakin inafanya kazi kwenye kwapa#



Wakati fulani elimu ya formal si msaada saana kama haijasaidia mtu kutambua...

Sipo upande wowote nachangia tu juu issue ya elimu kama elimu.......

Hizi mambo I can't comment!
Shukrani!
 
- Between juzi na jana imeniongezea Insta 1000 blog visitors 20,000 it mean maengezeko ya mapato atleast kwa 3% sasa how do you make money kwenye Social media bila ku-create crisis? Yaaani humu imejaa mijitu mingi akili ndogo sana!!

Le Mutuz

To be honest, hii ni technic ya a good sales person say a business man...
Kituko ni sehemu ya ku grab attention ya clients...

Le mutuz katika business perception ni sahihi...

Just commenting any useful hint...
I don't enjoy grudges...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom