William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

Kinky

Member
May 22, 2014
45
23
Le Mutuz amepost hii kwenye blogu yake

ImageUploadedByJamiiForums1404847343.724708.jpg

Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume.

I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii asubuhi kama hayakuwa majanga ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha!.

Ndio maana wengine tulienda majuu tukasoma shule masikini ya Mungu kibibi hiki kizee kimeenda majuu kujifunza kulilia kubakwa hata bila kubakwa, kuvaa machupi ya wanaume na kujiweka mitandaoni kwa sababu hakuna binadam mwenye akili timamu anaweza vaa yale machupi kinavaa.

Sasa naomba tukate mzizi wa fitina kiambieni kipige picha asubuhi kama mimi muone majanga, wewe kibibi rudi nyumbani ukalime maana hayo machupi hakuna wa kununua yanakufanana wewe wenyewe tu! ha! ha! ha! ha!.

Majuu miaka 20 umeshindwa hata kwenda shule ya kufagia sasa unaishia kulea wazee na matahira le mburulazzzz kwenu wamekusahau huwezi kurudi.

Sasa utaishia kutukana matusi watu ambao hamfanani wenzako humu online tunatafuta pesa wewe unatafuta matusi na michupi mikubwa ya wanaume kimama kizee huzuni sana, U know jipime hapa mimi na wewe U know! ha! ha! ha! - Le Big Show

Kinky
 
Mmh ila hata kama.... Mbuta Nanga kazd kama jina lake mbutaaaa yule ni nats kabisa lol
 
Mbutananga a.k.a mwanamke mwenye confidence kama anayojiita. Me sielewagi wana ugomvi gani na Le big show coz wanachambana mara kwa mara, na kila mtu anajiona yeye ni bora kuliko mwenzake. Sometimes ni vyema kukaa kimya coz wanavyojibishana wanajidhalilisha wote wawili, hajulikana nani chizi na nani mwenye akili timamu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mi nlisikia alitembeaga nae
 
Mbuta nanga hua ananichekeshaaa jamani sipati picha angekua na shape sijui ingekuajeee
 
Mbuta nanga hua ananichekeshaaa jamani sipati picha angekua na shape sijui ingekuajeee

swahiba hebu niitie mpwa wangu hoe maana kajitafutia mipresha ya bure kwenda kushabikia mpira uku hajui kwamba ujerumani leo wanatumia formation waliotengenezea benzi kuiadabisha Brazil, mpaka saa hizi Germany 7 Brazil 0.
 
Mi nimefurahiajee brazil kupigwaaaa safii sanaaaaaaaa
 
Kumbe eeh ndo mana ugomvi wao wanajuana ila mbuta nanga na picha zake ananichekeshaga hadi machozi

Sasa hapo badala le mutuz aoneshe uanaume wake apige kimyaa lakin kwa umburulaz anataka ashindane na mbutaa yaan wanaume wenginee banaa
 
Mjumbe wa baraza kuu Wazazi CCM, William Malecela amepost hii kwenye blogu yake akijishindanisha urembo na Bi. Flora Lyimo .

View attachment 169789

Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume, I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni
picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii aubuhi kama hayakuwa majangaz ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha! ndio maana wengine tulienda majuu tukasoma shule masikini ya Mungu kibibi hiki kizee kimeenda majuu kujifunza kulilia kubakwa hata bila kubakwa,

kuvaa machupi ya wanaume na kujiweka mitandaoni kwa sababu hakuna binadam mwenye akili timamu anaweza vaa yale machupi kinavaa, sasa naomba tukate mzizi wa fitina kiambieni kipige picha asubuhi kama mimi muone majangaz!!

Wewe kibibi rudi nyumbani ukalime maana hayo machupi hakuna wa kununua yanakufanana wewe wenyewe tu! ha! ha! ha! ha! majuu miaka 20 umeshindwa hata kwenda shule ya kufagia sasa unaishia kulea wazee na matahira le mburulazzzz kwenu wamekusahau huwezi kurudi.

Sasa utaishia kutukana matusi watu ambao hamfanani wenzako humu online tunatafuta pesa wewe unatafuta matusi na michupi mikubwa ya wanaume kimama kizee huzuni sana, U know jipime hapa mimi na wewe U know! ha! ha! ha! - Le Big Show

---------------------
Angalizo: Tanzania inahitaji sheria Kama ya Museveni, Uganda .

Kwa asiyemjua Bi Flora Lyimo ni Huyu hapa

ImageUploadedByJamiiForums1404881829.468324.jpg

Kinky
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom